Jambo lile lile lakini..

Jambo lile lile lakini..

Funguo inayofungua kila mlango ni muhimu sana ila mlango unaofunguliwa na kila funguo ni wakuupiga vita ikiwezekana kuubadili mlango huo haraka sana..
 
Ni sawa na gari analopanda kila mtu, thamani lazima ishuke
 
Mambo ya funguo na kufuli
Je utanunua kufuli ambalo linafunguka kwa ufunguo wowote?
au je utalipia kiasi gani kupata funguo unaofungua makufuli yote?
 
Ni sawa na gari analopanda kila mtu, thamani lazima ishuke

Haa!! Mbna kila mktaka kusafr mnapanda mtei, ngolika, hood na bado kla mktaka kusafr tena mnapanda hayo hayo???
 
it seems u are super hero...

yaa u are ....deep love even if i cut ur vain itatoka damu ya babu

kumbe unaogopa kushare vya babu eeeh na hupendi babu achepuke eeeh

ni wako peke yako
penzi lenu lipo juuu

Hahaaa asipaone miss neddy hapa
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume mwenye kujitambua siku hizi hagawi hovyo mpini wake. Huyo rijali ni kutoa doze ya kutosha kwa yule wake sio wale wake. Unawaza kuwa nao wengi kumbe wanakucheka na kuambiana kuwa weye ni wa kuchunwa tu. Si lolote, rijali atotoe hana hata kifaranga alicho totolesha akasingiziwa naye huyo rijali jamanii
 
Hilo nalo nenoooooooo.heshma kwako mangatara
 
Last edited by a moderator:
tatzo ni ukasumba, mwanamke tunamuona kiumbe dhaifu asiyetakiwa kufanya vitu fulani
 
Back
Top Bottom