Jambo la kushangaza katika magazeti ya leo

Jambo la kushangaza katika magazeti ya leo

Wacha wee hata Pasco kajichokea vyake...naona kahamia kwa sheni unguja
Mkuu Bopwe, sijajichokea, bali niko bize na mambo mengine. Nihamie kwa Shein nikafanye nini? . Baada ya ule uchaguzi wa marudio wa Zanzibar ulikuwa huru na wa haki, na baada ya lile tangazo la fyoko fyoko, kule sasa ni swari, heshima, adabu, ngoma iko huku kwa wenzetu wenye kiu ya damu! .

Kuhusu mada iliyo mezani, wahariri wako huru kuitumia independence of editorial waliyonayo kutumia angel yoyote, source yoyote na picha yoyote as long as is the best, the truth na from reliable source hata kama imetuma ripota wake na mpigapicha wake lakini asitumie story yake wala picha yake na badala yake kutumia picha za ikulu, the most trusted source !.
Pasco
 
Dotto mimi sipingani na wewe la hasha maana huenda kuna kitu ukweli kimjificha hapo (....) na unayo LOGIC ila kwa wale wenzetu ambao laana ya Mungu na ya Watz. inawatafuna kwa kunyimwa akili na maarifa na haimaye hungozwa na TUMBO huwa hawapendi ukweli na kuwa na LOGIC kabisaa, utawaona...
 
Kwa jinsi ninavyomuona maguful ni kama anajisafisha amegundua nini mheshimiwa wetu?
Watu wakichoka swaga za kufoka sijui atakuja na swaga gani. Hakawii kuanza kutembea na diamond platnum. ili kuongeza mvuto.
 
Wacha watu waendelee kushangilia na kuunga mkono kila linalofanywa na Ofisi kuu. Mambo yanaharibika kidogo kidogo na watu wananyamaza wana ona "halinihusu" ila kuna siku litakuhusu na hakuna tena wa kukusemea kwani wamekwisha.
Wacha tuendelee kushangikia na kuunga mkoni...unataka tuunge mkono timu ya mafisadi ndani ya CDM????

Jana viwanja vya furahisha tumefanya kweli chezea weyeeeee
 
Watu tunajadili picha ya mbele ya kwenye magazeti. Hivi ni kwamba tumekosa mijadala yenye tija? Tuna matatizo kibao tena yanaongezeka kila uchao. Sioni kama mwisho wa mjadala tutabenefit chochote.
 
Watu tunajadili picha ya mbele ya kwenye magazeti. Hivi ni kwamba tumekosa mijadala yenye tija? Tuna matatizo kibao tena yanaongezeka kila uchao. Sioni kama mwisho wa mjadala tutabenefit chochote.
Soma katikati ya Mistari ya mleta MADA wachache kama wewe hamtaelewa kinachojadiliwa...Jiongeze ukishindwa niambie nikupe maana take!
 
Aisee yani hii nchi hadi huruma...

Yani umefanya utafiti kwenye picha za tukio la jana?

Tatizo ni kwamba ulichokuwa unakitafuta hujakiona ndio maana umehitimisha kwa kusema picha imepigwa na mtu mmoja!

Narudia tena, kama kweli wapinzani mmekosa kabisa hoja za kumkosoa Magufuli hadi mnaokoteza vijihoja vya ovyo kiasi hiki, basi kazi mnayo.

Kuna mwenzio yeye kaona atoke na ukabila, yani katika hotuba nzima ya rais yeye kaona ukabila. Basi.
Asiyekubali kukosolewa ni mtumwa wa fikra
 
Umemulewa jamaa alichomaanisha? Rudia tena kumsoma
Watu wamejiaminisha kulalamika kuwa ndio msingi wa utatuzi wa yote yanayowasumbua.
Haiwaingii akilini kuwa wanaweza kufanya kitu mbadala, na pengine kizuri zaidi.
 
Tanzania inahitaji aina Fulani ya Udikteta, a la Rwanda and Ethiopia, inyooke.

Tunahitaji udikteta wa kuondoa urasimu usio na sababu yeyote lakini siyo wa kutufunga midomo na kutufanya kufuata blindly kila analotaka bwana mkubwa. Ikimbukwe kuwa kama siyo kelele za wapinzani juu ya rushwa ndani ya ccm na serikali yake JPM asingekuwa rais. Tunataka wapinzani waendelee kuibua uchafu wowote wa serikali kwa vile JPM na team yake siyo malaika, wana mapungufu yao na lazima waambiwe kabla ya mambo kwenda mrama.
 
Back
Top Bottom