MUGASHA THE HERO
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 327
- 205
Ukifanya utafiti kwenye magazeti ya leo kwenye ukurasa wa mbele juu ya habari picha kutoka jijini
Mwanza kwenye mkutano wa hadhara wa Rais Magufuli kuna jambo limeniacha hoi....Jana waandishi wa habari walikuwepo na walikuwa na vibali vya Ikulu,lakini picha ya mkutano wa Rais iliyotumika na magazeti yote yaliyotengeneza habari picha kuhusu mkutano wa jana,ni picha moja tu na imepigwa na mpiga picha wa ikulu.
Magazeti ya leo hayana picha tofauti za tukio la mkutano wa Raisi jana
jijini Mwanza,picha ni ya aina moja,angle moja
kwenye magazeti karibu yote!
Swali.
1.Je kwa sasa Ikulu ndiyo inayoamua picha ipi itokee kwenye magazeti kwenye mikutano ya Rais?
2.Je picha zilizopigwa na wapiga picha wa magazeti kwa nini hazikutumika mpaka wahahriri wakaamua kutumia picha iliyopigwa na mpiga picha wa Ikulu?
3.Wapiga picha wa magazeti mengine hawakuwepo uwanjani,je
picha zao hazikuwa na ubora?kwa nini wahariri watumie picha moja toka kwa mpiga picha wa Ikulu huku wapiga picha wao walikuwa uwanjani?
N.B.Nunua ama pitia magazeti yote yaliyoipa kipaumbele habari ya mkutano wa Mh Rais uone hizo picha zilizotumika.
By Dotto Bulendu