bopwe
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 1,776
- 1,464
Nini maana ya vyama vingi?
Kuw na vyama vingi...
Nini maana ya vyama vingi?
Ukweli mchunguWacha watu waendelee kushangilia na kuunga mkono kila linalofanywa na Ofisi kuu. Mambo yanaharibika kidogo kidogo na watu wananyamaza wana ona "halinihusu" ila kuna siku litakuhusu na hakuna tena wa kukusemea kwani wamekwisha.
Nchi ya watu wa ajabu sana hii mkuu!Wacha watu waendelee kushangilia na kuunga mkono kila linalofanywa na Ofisi kuu. Mambo yanaharibika kidogo kidogo na watu wananyamaza wana ona "halinihusu" ila kuna siku litakuhusu na hakuna tena wa kukusemea kwani wamekwisha.
Wajiandae kufungiwa.Magazeti yaliyotoa picha tofauti kwenye front page in Mwananchi, Tanzania Daima na The Citizen basi. Picha zote zimepigwa na mtu mmoja kama sivyo basi wapiga picha wote walikuwa kwenye angle moja. Hata ngoma hatukuwekewa tuone wanacheza na nyoka.
Umemulewa jamaa alichomaanisha? Rudia tena kumsomaMkuu piga picha zako na usambaze, information is power!
Nani wakuiondoa ikiwa kuna mijitu inasifia kila kitu hata kinachomuumiza mwenyewe...Issue ya Sukari moja wapo kwa uchache...mijitu ilirukatuka mwisho tunanunua elf 3 kilo[emoji16] [emoji16] [emoji16]Ccm itaondoka lini ndugu zangu!!!!
Nimegundua ugaidi sio kitu kibaya sasaNani wakuiondoa ikiwa kuna mijitu inasifia kila kitu hata kinachomuumiza mwenyewe...Issue ya Sukari moja wapo kwa uchache...mijitu ilirukatuka mwisho tunanunua elf 3 kilo[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Sasa hii issue inahusiana vipi na Wapinzania.................!!?Aisee yani hii nchi hadi huruma...
Yani umefanya utafiti kwenye picha za tukio la jana?
Tatizo ni kwamba ulichokuwa unakitafuta hujakiona ndio maana umehitimisha kwa kusema picha imepigwa na mtu mmoja!
Narudia tena, kama kweli wapinzani mmekosa kabisa hoja za kumkosoa Magufuli hadi mnaokoteza vijihoja vya ovyo kiasi hiki, basi kazi mnayo.
Kuna mwenzio yeye kaona atoke na ukabila, yani katika hotuba nzima ya rais yeye kaona ukabila. Basi.
Mkuu acha kua na fikra za kimbumbumbu si kila mtu anaezungumza kitu tofauti na serikali ni mpinzani..elimu uliyokua nayo haijakusaidia kitu kuweza kukukomboa kifikra...Aisee yani hii nchi hadi huruma...
Yani umefanya utafiti kwenye picha za tukio la jana?
Tatizo ni kwamba ulichokuwa unakitafuta hujakiona ndio maana umehitimisha kwa kusema picha imepigwa na mtu mmoja!
Narudia tena, kama kweli wapinzani mmekosa kabisa hoja za kumkosoa Magufuli hadi mnaokoteza vijihoja vya ovyo kiasi hiki, basi kazi mnayo.
Kuna mwenzio yeye kaona atoke na ukabila, yani katika hotuba nzima ya rais yeye kaona ukabila. Basi.
Nape atasema ni uchochezi .Mkuu piga picha zako na usambaze, information is power!
UWONGO.Hakuna maelekezo yoyote iliyotolewa. Wahariri wanaweza kuamua kutumia za waandishi wao ama zilizotumwa na Ikulu Kuna wakati waandishi wa vyombo vya habari wanaweza kupata changamoto za kupata picha ama kutokuwepo katika matukio.
......ongezea , mitambo na mwenye mali.Hakuna uhuru wa habari bali kuna uhuru wa mwenye chombo
''My Journey To Pyongyang''