Jambo la kushangaza katika magazeti ya leo

Jambo la kushangaza katika magazeti ya leo

Magazeti yaliyotoa picha tofauti kwenye front page in Mwananchi, Tanzania Daima na The Citizen basi. Picha zote zimepigwa na mtu mmoja kama sivyo basi wapiga picha wote walikuwa kwenye angle moja. Hata ngoma hatukuwekewa tuone wanacheza na nyoka.
 
Wacha watu waendelee kushangilia na kuunga mkono kila linalofanywa na Ofisi kuu. Mambo yanaharibika kidogo kidogo na watu wananyamaza wana ona "halinihusu" ila kuna siku litakuhusu na hakuna tena wa kukusemea kwani wamekwisha.
Mzee mbona una chuki sana na magufuli? Hamna zuri alilolifanya? utaugua kisukari
 
Wacha wee hata Pasco kajichokea vyake...naona kahamia kwa sheni unguja
 
Labda waandishi wa habari wa magazeti hayo hawakwenda eneo la tukio wakiogopa wakipiga picha zao magazeti yatakua hatiani hivyo bora wanyonye kwa mpigapicha wao
 
Hapa Mkwere lazima akumbukwe hasa kwa lile tabasamu lake pale alipotukanwa na kubezwa. Asante Mkwere kiukweli tuna kukumbuka sana hadi sura yako tunaiona juu mwarobaini.
 
Doto, tatizo ni njaa za nyinyi waandishi wa habari -bahasha, why go there? Kama kuna vitu kama hivyo vinaanza, achana na mikutano ya bwana mkubwa! Lakini njaa zenu na kudanganywa na ukuu wa wilaya, basi hamuwezi kufikiri kwa kina tena!
Point
 
Ukifanya utafiti kwenye magazeti ya leo kwenye ukurasa wa mbele juu ya habari picha kutoka jijini
Mwanza kwenye mkutano wa hadhara wa Rais Magufuli kuna jambo limeniacha hoi.
Jana waandishi wa habari walikuwepo na walikuwa na vibali vya Ikulu,lakini picha ya mkutano wa Rais iliyotumika na magazeti yote yaliyotengenezamhabari picha kuhusu
mkutano wa jana,ni picha moja tu na imepigwa na mpiga picha wa ikulu.
Magazeti ya leo hayana picha tofauti za tukio la mkutano wa Raisi jana
jijini Mwanza,picha ni ya aina moja,angle moja
kwenye magazeti karibu yote!
Swali.
1.Je kwa sasa Ikulu ndiyo inayoamua picha ipi itokee kwenye magazeti kwenye mikutano ya Rais?
2.Je picha zilizopigwa na wapiga picha wa magazeti kwa nini hazikutumika mpaka wahahriri wakaamua kutumia picha iliyopigwa na mpiga picha wa Ikulu?
3.Wapiga picha wa magazeti mengine hawakuwepo uwanjani,je
picha zao hazikuwa na ubora?kwa nini wahariri watumie picha moja toka kwa mpiga picha wa Ikulu huku wapiga picha wao walikuwa uwanjani?
N.B.Nunua ama pitia magazeti yote yaliyoipa kipaumbele habari ya mkutano wa Mh Rais uone hizo picha zilizotumika.

By Dotto Bulendu
Hakuna maelekezo yoyote iliyotolewa. Wahariri wanaweza kuamua kutumia za waandishi wao ama zilizotumwa na Ikulu Kuna wakati waandishi wa vyombo vya habari wanaweza kupata changamoto za kupata picha ama kutokuwepo katika matukio.
 
Hata ikuchukua miaka mia siku ccm ikiondoka basi hatua muhimu ni kukivunja chama hicho ili kibaki chama historia kilichotokana na Tanu na kudai uhuru. Lakini hakifit ndani ya siasa za sasa za kidemocrasia hivyo kifutwe ili maendeleo ya uchumi na democrasia yapatikane
Nini maana ya vyama vingi?
 

Attachments

  • MM.PNG
    MM.PNG
    79.2 KB · Views: 33
Nape atakua aliwaagiza TCRA wazifungie kamera zao maana ni za kichochezi.
 
Wacha watu waendelee kushangilia na kuunga mkono kila linalofanywa na Ofisi kuu. Mambo yanaharibika kidogo kidogo na watu wananyamaza wana ona "halinihusu" ila kuna siku litakuhusu na hakuna tena wa kukusemea kwani wamekwisha.
Sukari imeshashuka bei kwa Sh. 1,500/-, hivi sasa ni sh. 2,600/-
 
Back
Top Bottom