Jibu swali sasa. Waziri Angela Kairuki anatoka Sumbawanga?Kweli wewe ni magonjwa mtambuka
Siyo jambo kuchekea hili jamani.View attachment 817189
"Hii inji ni yetu sote!!!..kwi!.kwi!..kwi!
Unahangaika sana kwenye huu Uzi,acha nafasi na wengine wachangieJimbo la Moshi likirudi nimeandaa fungu la Beach party,nina imani na kazi anayoifanya Anna Mughwira ambae ninaamini atakuwa raisi wa pili mwanamke katika jamhuri hii.
Naiona bendera nyeupe ikipepea Ufipa street teh..teh..ceasfire! Ndugu zanguni. in Mbowe's voice.Siyo jambo kuchekea hili jamani.
Huyu Mbowe nilikuwa namuona ana kaustaarabu fulani hivi kumbe duh, ana ukabila wa hatari aisee. Yaani kitanzi ajifunge mwenyewe lawama ya kujinyonga awatupie wengine?Kama mmeamua kuifuta ccm kaskazini hasa Kilimanjaro na Arusha hao mawaziri na manaibu waziri watatoka wapi?Sifa ya Waziri au naibu waziri ni uwe mbunge na kwa mfumo uliopo ni kwamba lzm utoke ccm.Huko kaskazini CCM utawatoa wapi?Kuifuta ccm kaskazini hakuwezi kuwaacha salama wachaga.Hata katika vyeo vingi utakuta wamejaa makada wa ccm na makada wenyewe tayari sio wakaskazini.Nafikiri swala la kuifuta ccm kaskazini kumeenda sambamba na kuifuta kaskazini ktk kada nyinyi za kiuongozi serikali.Najua mtu atakuambia serikali sio ya ccm,lkn mjue ccm ndio inayounda serikali so ni vigum kujaza watu nje ya kikundi chao.
Wacha uongo kijana. Hili ni kabila la watu wenye kuthubutu na very enterprising, hawa ni next to Jews.Wachaga tatizo wezi
Safari hii hakuna kwenda Moshi Christmas. kuda dadeki mbona watapata tabu sana.
Mkuu hivi Ndugu Macha alieteuliwa juzi tu kuwa Mkuu fulani ni kabila gani?unaambiwa kuna maagizo hata kwenye zabuni , ukiitwa Shirima au Urassa hupati kazi ! haya ni mambo ya kishamba ambayo nchi hii haijawahi kuwa nayo
Kama haumtaji jina sisi tutaamini vipi kama unachosema ni kweli tupu?Kuna watu bado hawaelewi kabisa ni nini ambacho kinaongelewa hapo.... siyo kuwa mchaga tu....
mfano nina rafiki yangu ambaye nimesoma naye chuo, yeye surname yake inafanana na ya kiongozi fulani wa upinzani, unyanyasaji anaofanyiwa ni hadi aibu,,, tena ana mpaka kadi ya ccm na ni mwanachama hai lakini ndo hivo tena...
Kuna watu wanaona haya mambo yapo tu sawa,,,,,
Labda ni Mndendeule.Mkuu hivi Ndugu Macha alieteuliwa juzi tu kuwa Mkuu fulani ni kabila gani?
We acha mawazo mgando. Mawaziri atawatoa wapi na wabunge wamechagua wa upinzani. Au unataka aingize wapinzani kwenye serikali yake?ndio waziri?
sipo hapa kwa ajili ya kumuaminisha mtu... ila nmejaribu tu kuunga dots.... after all sina permission ya kudisclose jina lake na hata nikilidisclose huwezi kumjua...Kama haumtaji jina sisi tutaamini vipi kama unachosema ni kweli tupu?
Hawana uchungu na Tz hawa.Kuna watu wanaona haya mambo yapo tu sawa,,,,,