unaambiwa kuna maagizo hata kwenye zabuni , ukiitwa Shirima au Urassa hupati kazi ! haya ni mambo ya kishamba ambayo nchi hii haijawahi kuwa nayoHuyu Jiwe anaipeleka shimoni nchi yetu pendwa
That's very trueunaambiwa kuna maagizo hata kwenye zabuni , ukiitwa Shirima au Urassa hupati kazi ! haya ni mambo ya kishamba ambayo nchi hii haijawahi kuwa nayo
Shukrani kubwa sana kwa aliyeweka uzi huu , amechokoza nyuki .That's very true
Tumuomba Mungu wetu aliepushe Taifa katika utengano usio na maslahi na Taifa hili
Eti nini?Magufuli anainyoosha nchi kisawasawa haswa.
hivyo ndio viwanda mlivyotuahidi ?Safari hii hakuna kwenda Moshi Christmas. kuda dadeki mbona watapata tabu sana.
Ni hivi , ukiwa kwenye hiyo mikutano yake halafu ukajifanya kununa unavuliwa cheoeti gawio na majitu yanakenua meno kwenye TV