Shoctopus
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 3,435
- 1,995
Toka zamani akina mazengo mbele ya hao akina shirima walibaguliwa hivyox2 ktk elimu na ajira za mashirika ya umma.unaambiwa kuna maagizo hata kwenye zabuni , ukiitwa Shirima au Urassa hupati kazi ! haya ni mambo ya kishamba ambayo nchi hii haijawahi kuwa nayo