Jambo hili halifai na watanzania tulipinge!!

Jambo hili halifai na watanzania tulipinge!!

Safari hii hakuna kwenda Moshi Christmas. kuda dadeki mbona watapata tabu sana.
Kwa taarifa wako wachaga ni kabila teule na lililobarikiwa na muumba, ata mulipige vita vipi litasimama imara daima, tumewaajiri sana mjini na vijijini. Mahotel, mabar, masupamaketi, mabenk, mashule, migodi, makampuni ya usafiri na usafirishaji nk vyote hvyo 90% vinamilikiwa na kabila teule.
 
Hivi Jiwe atakapokoma kuwa mkuu wa kaya ataishi wapi? Anachukiwa na 98% ya watanzania na magawio yake ya uongo. Ptuuuuuu!
 
December kuanzia tarehe 19 kakae Msata au Korogwe ukashuhudie mwenyewe.
Hii ni desturi waliyojiwekea na wanabana matumizi kwa ajili ya tukio hili.
Niliongeaga na mtalii mmoja alikuja Tanzania, akaniambia safari yake ali plan miaka 10 kabla ya kuja akawa anasevu pesa taratibu, sio wanakurupuka tu kuja. Kama wachaga wanafanya hivyo hakutakuwa na badiliko la kwenda nyumbani kwao december!
 
Mbowe, mbowe, mbowe, mbowe, umeshindwa kufanya siasa umerukia ukabila sasa. Mbona wachaga wapo kwenye nafasi nyingi tu
 
Mnaona baadhi yenu wachagga mlivyo na akili mgando kama kaka yenu mboe, kuamini kuwa mmependelewa na mwenyezi mungu, mkasahau kuwa watu pekee Mwenyezi Mungu aliwapendelea ni wayahudi. Kwa kauli hiyo tu mnaonyesha ni kwa degree kiasi gani nyie ni wakabila, then mnakuja kulalamika mnabaguliwa huku wenyewe mnajibagua
 
Haa.. Tatizo sio uchaga. Watu munapindisha hoja hapa. Tatizo ni CDM. Watu wa huko wengi ni CDM hilo halina mpingaji. M/kiti wa CCM anapata tabu sana kupata hata mkuu wa wilaya anae toka Moshi kwa sababu ya u-CDM.. Wala sio kabila. Tusipindishe ukweli ulivyo. Juzi tu kamteuwa mkuu wa Wilaya Kahama. Yula Dada aliyerudishwa kazini pale wizara ya ndani nae ni mchaga. Mrema nae ni mchaga. Ndo muwe makini kujitangazia chama cha kabila lenu (CDM).
 
tuliambiwa kaskazini tayari wana maendeleo wakae pembeni ila ukienda kaskazini kama same, simanjiro, kuna hali ngumu kuliko kanda ya ziwa kama vile mwanza.
 
sipo hapa kwa ajili ya kumuaminisha mtu... ila nmejaribu tu kuunga dots.... after all sina permission ya kudisclose jina lake na hata nikilidisclose huwezi kumjua...
So you are making accusations based on anecdotal evidence?
Why mention his personal perception of imaginary victim of discrimination and accuse someone of it in public, yet you can't disclose victim's actual name? What's the point then?
Kama huwezi kuweka jina lake huyo mhanga tuone uhalali wa kumtuhumu mtu ubaguzi, basi katika mizania ya kutenda haki na usawa unakosa uhalali wa kutuhumu mtu au hiyo taasisi husika.
 
sipo hapa kwa ajili ya kumuaminisha mtu... ila nmejaribu tu kuunga dots.... after all sina permission ya kudisclose jina lake na hata nikilidisclose huwezi kumjua...
Tatizo sio wewe kuaminisha mtu, tatizo ni wewe kutuhumu mtu/taasisi na kushindwa kuweka ushahidi wa muhanga halisi ili asichafuliwe mtu/taasisi kwa mtazamo binafsi unao kosa mashiko au unao kosa ushahidi halisi.
 
Back
Top Bottom