Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
Mwaka umeisha heri kwa wale tulio na afya nje lakini wapo ambao hatuko nao wengine ni wagonjwa tuwaombee kwa Mungu awape faraja yake
Tulifunga mwaka mtandao wetu pendwa JF ukiwa katika matengenezo makubwa yaliyochukua takribani siku siku mbili yote tisa kumi tupo hewani sasa.
Ebu tujikumbushe matukio makubwa mwaka 2014 ya kisiasa yalijitokeza na hautayasahu mapema akilini mwako
karibu