Jamani

Maskini mwali! Kweli ndege mjanja. . . .
Hi Mwali, wala usiwe na shaka, moyoni ni wewe huyo Chamoto anatuletea fitna tu.

Anataka kututia mshawasha, fitina zake hazipandi wala hazishuki, bure hiyo.

Nampenda Mwali wangu katu simwachi.
 
Siku hizi wanaaongoza kwa umbea ni wanaume

Sent from my BlackBerry Porsche Design using JamiiForums
 

Na akiwa hana umbea hata kidogo hanogi huyo
 
Siku hizi wanaaongoza kwa umbea ni wanaume

Sent from my BlackBerry Porsche Design using JamiiForums
..sio wanaume hao ni mixture yaani wanauke,maana kijinsia ni wanaume kihalisia wanamatendo ya kike
 
...mmmh very few of you wanaweza bila kuwezeshwa, chunguza happiness utabaini tu ! The very big enemy of your ability to do things on your own ni nature

Nakubaliana na wewe Gefu 100%. Lakini kutokana na maisha ya karne hizi ambazo vidume vimeshindwa kusimama kwenye nafasi zao navyo vinataka vihudumiwe, vilishwe bure na kudeka deka hovyo, wanawake inatubidi tugangamale tu wenyewe. Amini usiamini, itafika kipindi tutafanya kila kituuuuuu nanyi mtatutumikia kwa uzembe wenu wa kuuza majukumu yenu.
 
And then mnapozidi kujaribu kufikia hatua hiyo,mtajikuta mnaunda mfumo mpya wa maisha,mfano kasi ya ndoa kuvunjika itazidi maradufu ya sasa na matatizo makubwa yatakayo yumbisha mambo mengi,maana wanaume hawatakuwa tayari kuuza nafasi yao.
Wazungu wameanza na ndoa za mkataba na wanawake kuoana hadharani na madudu mengine mengi,wao wamefikia hili kwa mwamvuli wa demokrasia na mfumo wa maisha. kwetu hilo hatuliwezi kwakuwa level ya demokrasia na mfumo wa maisha uta reject hii kitu kwa nguvu sana. Hapo ndipo maajabu yatakapo anza kutokea !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…