Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,269
Punyeto? Kama una demu na bado unaendelea nahisi wewe ubongo wako umeganda. Mfukuze demu wako uendelee na hiyo nyeto yako au oa kabisa ili muwe mnafanya live.
Hivi kwa nini unataka kuacha? mi sioni ubaya mbona? sema tu u-diversify vyanzo vya kujipa raha. uwe unafanya some times solo, sometimes duo,... (and as would say ... sometimes trio? :eyebrows: )
Mbona wanapiga sana tu..Makubwa tena haya, Hivi wanawake nao huwa wanapiga Punyeto? Sijawahi sikia wala kuona