kisasangwe
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 292
- 56
wadau humu ndani, hebu nisaidieni....
haya mashindano ya ZAIN kwa vyuo vikuu Africa, hivi vya Tanzania ni kwamba wanafunzi wetu ni mazoea ya kudesa au kuna tatizo jingine... mbona kila wakati sisi ni wa kuangukia pua tuuu. nilikua nawaangalia wa Tumaini University jana,kwa hakika ule ukimya ulinifanya nishindwe kufikiri,
au pengine wanafunzi wa KiTZ tunafurahia uwepo wetu tu pale then tunashindwa kujibu maswali ipasavyo.