sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
Yap mim mngoni ila wa dot com...yani kilugha chetu najua kidogo sana....yani maneno machache sana.....na wew ni wa uko...?
Last edited by a moderator:
^^
Yaani kheri hata hao wenzangu mi ndo mwanaume mbaya kabisa,sijui tupewe nini jamani
^^
yaah ni kweli ndio maana wamejaa kwenye makanisa na majumba ya maombi kutafuta relief. wanawake wengi wanastress za maisha hasa walioolewa.
Yap mim mngoni ila wa dot com...yani kilugha chetu najua kidogo sana....yani maneno machache sana.....na wew ni wa uko...?
Hivi utaniambia ni w/me tu ndio majanga ktk mahusiano?
...
Mmmh! Maskini Mashaxizo alikua good boy kwenye mahusiano!!!
^^
Using'ake! Ulidhani mi mzuri?
^^
Aaah,mi nkajua ni mtu safi wewe ila umentisha jamani
na siku hizi umekuwa bad boy sana mkuu, tatizo ni nini?
Mkuu pigia mstari tu hapo!
Anatimiza wajibu wake? Na kwa nini ukae na watoto wa ndugu zako wakati unamuona na kuhisi kuwa mumeo ni kicheche? Tena watoto wa siku hizi, hawa wanaovunja ndoa za dada zao na mama zao ndio ataheshimu ya shangazi? Usiku jamaa alimfuma na kajamaa sasa ili kuzima soo binti ikabidi awape wote wawili, si hakiishi hicho kikojoleo?
nani kakusababishia u-bad boy? tema mate tumchape
Dada mmoja amemfumania mume wake akifanya mapenzi na mtoto wa kaka yake(kaka wa mke),mke amechanganyikiwa,akaenda kuomba ushauri,akaambiwa ajitahidi atatue hilo tatizo maana,huku kwenye jamii tayari kumejaa matatizo lukuki akiruhusu na hilo la mume wake kuja huku,hana mchango wa kujenga jamii ambayo inaanzwa na yeye kwenye ndoa yake.Hivi mpaka lini wanaume mtasababisha majanga ndani ya familia zenu,kila siku wanawake ni vilio tu?