Jamani wanaume

Jamani wanaume

Nyalotsi
Sasa wewe unavyoona the way to deal na mume mmbovu na mpuuzi ni kukataa kuishi na ndugu!!!??? Duh this type of mentality is exactly why these men ..................... :tape:

Bahati Yangu

Mwanaume aliyediriki kumvua nguo your own niece, ni ushauri gani hapo anaotaka!???The usual BS ,ndio wanaume walivyo , ndoa ni ngumu and blah blah blah ama??? ..............urgh

Ndugu yangu ngoja nikwambie kitu: kuna wanaume ni vicheche yaani mke mwenyewe anajua ila anavumilia. Kwa nini amsogezee watoto wa kike? Tena wasichana wenyewe wa siku hizi wasiojua kabisa undugu? Kuna watoto siku hizi wanatamani hadi kufanya mapenzi na wajomba zao sembuse huyo mtu tu wa mbali? Lazima uendane na hali halisi ya maisha uliyonayo. Endelea kuvumilia wewe ila usijaribu akuumizie na ndugu. Watoto wa siku hizi sio wa kuwaacha na mume wa mtu.!
 
hawana jema wallahi..........
Sema ni wepesi sana kusahau wema wetum sisi wanaume rijali, mambo mema tunayowatendea hamji hapa jamvini kutangaza, magari tunawahongeni, viwalo tunawanunulieni, nyumba tunakujeengeni, sifa za uzuri na urembo tunawapeni hata kama hamna, hayo yoote mnasahau, mnavizia tu tumemkonyeza au kushika kalio la nani basi mnakuja hapa Jf kulalama. Hivi umeshaona thread hapa ya mdada yeyote akisifia fadhila zetu wanaume! Wanaume hatuna hiyana kama nyie wadada!
 
baby kinachokufanya uwapende wangoni ni nini?

Baby DEMBA wangoni nawapenda ni wakarimu..napenda lizombe ngoma yao ile....halafu sasa wamefundwa jinsi ya kukaa na mume....wachapa kazi sana baby...yaani najikuta napenda almost kila kitu kwen utamaduni wao. Ajabu songea sijafika..
 
Last edited by a moderator:
hawana hata maana, bila wao nafikiri ulimwengu ungekuwa na furaha sana.
Shamba lenye pilipili na nyanya,mara nyingi unakuta aliyepanda
nyanya ndiye aliyepanda pilipili.Vyote unakuta vina umuhimu maana vyote huuzwa
na kuleta pato.
Tatizo linakuja pale unapovitumia ndivyo sivyo.
ukiweka pilipili machoni,utalaani aliyezipanda,lakini wanaojua matumizi yake,daima huzifuata sokoni na kuleta nyumbani.
Wavunjaji wakubwa wa ndoa ni wanawake wenye ndoa,kwa kuwaachia majukumu muhimu hao watoto
wafanye,matokeo yake waume zao wanawapandisha madaraja kufikia cheo cha mama mwenye nyumba
na hapo ndo vilio na manunguniko huanza.
Hii inawakumba wanaume pia wasiotimiza wajibu wao wa kutunza familia
tumeshuhudia wamama wengine wakitembea na vijana wao wa kazi au shemeji zao,na hapa hatuwezi kusema kuwa wanawake ni majanga,maana bila wao dunia isingekuwa na watu.
Hivyo hivyo bila wababa dunia isingekuwa na watu
Nashauri kila mtu atimize wajibu wake ktk ndoa,hapatakuwepo shida kamwe.
 
Wajibu upi? Kwa hiyo kama hatimizi wajibu maadili ya jamii yake/yetu /biblia/ quoran inasema mbadala ni huo/ufanye hivyo?
Maadili yanasemaje kuhusu mtu kutimiza wajibu? kama tutaamua kufuata vitabu vya dini au maadili mengine
ya kijamii tuyaangalie kutokea pande zote na wala siyo upande mmoja.
mgao wa umeme tuwaachie TANESCO,tukileta kwenye ndoa matokeo yake ndo hayo watu wananunua vijenerata vidogo.
 
......one sided story

Nilikuwa namjibu aliyesema "Je wanawake wanatimiza wajibu wao"? ndio nikasema, whatever the case, if one does not fulfill his/her duties in a matrimonial home, the solution is to practice promiscuity/misbehave!! Is this what our traditions, norms and customs, holly books teach us! That is my argument!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom