Jamani wanaume wachaga ni hatari...!

Lady doctor....Nadhani wewe umekuwa shuhuda mzuri wa hili kwani tangu tuafikiane si unaona sijawahi tata kukuchokoza kule chumbani?

kabisa, ila huduma nyingine zote unanipa kiroho saafi!
 
Last edited by a moderator:
Kwanza wakikupenda wanahudumia mpaka unasema POOO yaan kuanzia matumizi, mavazi en everything! wanaosema wabahil waongo!

Mwanamke wa kwangu nikimkuta anasema maneno haya NAMUACHA on the spot. Kwasababu;
1. Hanipendi ila anapenda mshiko ninaompa
2. Siku nikikosa na akapata anayempa zaidi hatajiuliza mara mbili kuhamisha kambi.
3. Huyu ni simply "BODY ENTREPRENEUR"
 
hahaaaaaaaaaaaaaaa 4 years. kama ni mtoto keshaenda nursery. duh ama kweli ni mvumilivu kama hajagegeda. maana wanaume type hizo huenda wapo sayari yajupiter. teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…