Huyo hajakulia kwao au ana kasoro zinazomfanya anaogopa kupigwa kibuti. Au, au, au ana ile kazi maarufu ya wachagga.
ukisogea kidogo mbele zaidi ya hapo utapatia, ila kwa hilo la Msukuma umekosea.
Hilo ndilo jibu hata kina Dada wa kiPwani wageshakukimbia maana bila hiyo huduma huyo Mchagga wako sio rijali hata kina FaizaFoxy wakielewa ni kukulia kwa wazazi wangeshakujibu.Yaan nimeanza nae 4yrz nw hajawah omba sex yeye ni huduma 2, mengne mpaka ndoa
Nimegundua hoja yako niyakupika
tuko vizuri,mapenz co kupgana miti 2 dairly...caring itc all about...
Kwanza wakikupenda wanahudumia mpaka unasema POOO yaan kuanzia matumizi, mavazi en everything! wanaosema wabahil waongo!
Thithithithi....wachaga hawa hawa au kuna wengine.
Thithithithi....
Kama analipa je?na wewe unamwaga madolari?
Jamani siye hatuna shida muulizeni exkidumu wangu King'asti atawaambia
Kama analipa je?
Kwanza wakikupenda wanahudumia mpaka unasema POOO yaan kuanzia matumizi, mavazi en everything! wanaosema wabahil waongo!