Wanawake mna roho ya kijasiri sana.
Yani na vituko vyote tunavyowafanyia ni wachache wanaotia sumu kwenye chakula maana nyinyi ndiyo mnatupikia na kutufanyia mambo mengi kutuua dakika sufuri.
Walaaniwe wote ambao hawaheshimu wake zao ....m**** zao
kumdhalilisha mkeo mbele za watu ni utomvu wa nidhamu ... sasa kafanya hayo yote anafikiria hicho kidumu kitaweza lea wanawe ? in case mkewe katangulia mbele za haki je watoto watamchukuliaje hicho kidumu kama si kutafutia watu dhambi ya chuki bure tu....
kingene wanawake kumfuatilia mwenzio ni vizuri ila usilete ubabe na isiwe sababu ya mafarakano kila mara ndani jiulize kwa nini anafanya hivyo je wewe ni source ukijua kuwa na wewe umechangia just mpotezee give him time mpotezee kadri uwezavyo fanya majukumu yako kama kawaida kubaliana na jifanye muelewa mwisho wa siku atageuza kibao na kujitafakari pia na kujiona anakosea na atajirudi... yani jitahidi kila asemacho huendi against him hasa kama aliwezi affect watoto.. mkumbushe majukumu yake muombe pesa uwezavyo kwa upole tu akikuambia sina mjibu sawa ila ningependa kesho ukipata naomba. na usiwe na huruma kwenye majukumu hasa yanayomuhusu
kumbuka wewe ni wathamani ulingani na kidumu wala mchepuko, jithamini , kuwa na upendo kwa wote mungu lazima atakuwa upande wako
Hukupata hat picha ya kukamilisha story?
me mke wangu chai saa tano, ugali saa 11, usiku kula saa 4 au 5 usiku ni jambo la kawaida, mpango wa kando unakwepwaje hapo!..Mpka unaibiwa Mme,kuna Jambo halipo sawa tena na kibinti
Majukumu kidogo yalibana ila nimerudi.. Ni hivi mke aliona dalili siku nyingiii na kusikia tetesi kwa wambea. Mara kwa mara mumewe akirudi hom Jioni huwa anatoka kidogo kwenda kwenye baa fulani tu ya jirani ambayo ndo hukutania na hiko kidada. sasa siku ya mke ndo kupanga na mwenzie eti Leo anaenda kufumania. Hio siku ndo kavaa hijabu eti mumewe asimjue. Mume wamekaa na mchepuko mke katokeza mume akamgundua vizuri tu mume akajifanya kunyanyuka kwenda haja nyuma mke kaanza kutukana mchepuko. Haa mume sijui alitoa mkanda wapi mwanamke alipigwa nusura afe na hakuna mtu kuingilia eti kisa ni mkewe.
Tutawazalia watoto wa nje mpaka mshike adabu.
wordkumdhalilisha mkeo mbele za watu ni utomvu wa nidhamu ... sasa kafanya hayo yote anafikiria hicho kidumu kitaweza lea wanawe ? in case mkewe katangulia mbele za haki je watoto watamchukuliaje hicho kidumu kama si kutafutia watu dhambi ya chuki bure tu....