Jamani wanaume heshimuni sana wake zenu

weka video au picha tu access otherwise anaweza akawa mwanaume (wa kenya) kapigwa alafu unasingizia
 
Kitendo cha mume kuyafanya hayo uyasemayo tafsiri yake ni kwamba mke kashindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo
 
Rafiki yangu alienda masomoni kwa mwaka mzima, karudi nyumbani mkewe ana mimba kuuuuuubwa. Unawezaje kuhandle issue kama hii?
 
si vema kumdhalilisha mwanamke hadharani, iwe mkeo, kidumu siuji, dadako au hata rafiki... sio sawa hata kidogo.
ila nyie wanawake hamueleweki hata kidogo......mnapenda ghasia mno..... unafikiri ukiolewa mmeo ni bidhaa yako????au mali yako......hicho ndicho kinachopelekea migogoro.....
 
>>>>>Huyo mwanamke hata kama ingekuwa ni mimi ningemfumua.... Huwezi kunifumania uanze kuniletea vurugu nikuache.... Lazima nikunyooshe ili akili ikae sawa...


Wanawake muwe mnatumia akili zenu sawa sawa..
 
Wanawake mna roho ya kijasiri sana.
Yani na vituko vyote tunavyowafanyia ni wachache wanaotia sumu kwenye chakula maana nyinyi ndiyo mnatupikia na kutufanyia mambo mengi kutuua dakika sufuri.
Walaaniwe wote ambao hawaheshimu wake zao
 
Hahahaaaa, wewe ni changamoto kabisa!!

Kuna mmoja huyo yeye alifuma sms kwenye simu ya mumewe yaani ndo ikawa kama ndo chuma ulete anaomba hela mpaka mume nusu achanganyikiwe lakinii hana jeuri ya kukataa
 
Serikali haina sha.MbA
 
Mwanamke nae ana kiranga kwann akampige kidumu? Wacha apigwe tu ajifunze
 
Nafikiri huyo mwanaume hajatenda sawa na hakujipa nafasi ya kufikiri mara mbili kabla ya kufanya kitendo hicho maana kama angejiuliza kwamba huyu mke nnaishi nae nyumba moja,ndugu zangu na zake wanajuana na tu mwili mmoja basi hapana shaka kabisa asingemdhalilisha mkewe kiwango hicho.
Binafsi nachukizwa na kushangazwa na wanaume wa aina hiyo,namuombea kwa Mungu huyo mama apate nguvu na uwezo wa kujua nini sahihi cha kufanya baada ya hayo yote yalotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…