Fansidar na Metakelfin ziliwadhuru watu wengi sana, kwa kuwa wengi waliathirika na Sulphur poisoning. Sielewi kwa nini Sulphur iliwekwa kwenye dawa hizo (SP). Masikini, hata mwanaye Magufuli, marehemu Juliana, amekufa kwa ajili ya Sulphur poisoning.
Kwa hiyo sishangai kuhusu hizi Dawa Mseto!
Watanzania kila siku tunageuzwa Guinea Pigs, na makampuni ya madawa ya nje, kwa kuwa UONGOZI tuliouweka ni wa KIFISADI, unajali maslahi binafsi.
Akina Pfizer, na SmithKlineBeecham wanakuja na dawa zao hizo, kumbe wanafanya TRIALS kwenye miili yetu?
Kama unaweza, Artesunate ndio dawa pekee iliyothibitishwa kuwa nzuri kwa kutibia Malaria bila madhara. Achaneni na UPUUZI wa Mwakyusa na wenzake kule MoHSW!