Jamani wana chit chat hebu njooni tumpe hongera

Kweli aise ngoja tuombe msaada wa uokozi kwa wataalam

Uko salama lakini Blaki Womani

Halafu uje bana binti wa mjumbe anaolewa wiki hii bana kwa hiyo hapa Hungumalwa ni sherehe sherehe tupu bana kuna pombe za kienyeji tupu huku hakuna cha ndovu wala sijui castle lite wala gordons wala jack daniel Vin Diesel

Nimemiss sana wanzuki,,,ngoja nije kudumisha utamaduni

Blaki Womani hapo kwenye mabano ya Mr Rocky amesema "ananipenda" plz mwambie nampenda pia afu uache umbea! Mjumbe hauwawi hivyo mwambie na Vin Diesel aache majungu manake sio mtaji....yamemponza mwenzie Bishanga mpaka sasa hivi anaiona jf chungu!
Erickb52 mekumiss pia shemeji langu la ukwee kwenye mabano (Mwaaaaah)
Arushaone wewe ndelea kupumzika manake hakunaga kama wewe.......namtuma cacico aje kukupepea kwa raha zako!

Shukrani za kipekee na za dhati zimfikie Invisible popote alipo! Be blessed mkuu lol!

Wewe kunirusha roho ndio umeona ni mtaji sweetlady?

Kweli aise ngoja tuombe msaada wa uokozi kwa wataalam

Uko salama lakini Blaki Womani

mie nipo salam salimini......nasubiri mwaliko napendelea wanzuki Vin Diesel bado anahangover wiki 2 sasa sijui alikunywa nini

Tulilewa wote ila nashangaa mwenzangu unajiweza kuliko pampula...

eeeeehhh wifi umbeya suna...... Mr Rocky nini kinaendelea hapa sweetlady amenituma nikwambie anakupenda sijui upendo upi ule wa agape au ule mwingine kama wa Vin Diesel na nitonye..... ruttashobolwa loya wa chit chat toa mwongozo tafazali
Mr Rocky kuwa makini maana sweetlady alianza kunisalimia kama hivi na mwisho akahamia PM,kilichofuata ni historia.
 
Last edited by a moderator:
Blaki Womani hapo kwenye mabano ya Mr Rocky amesema "ananipenda" plz mwambie nampenda pia afu uache umbea! Mjumbe hauwawi hivyo mwambie na Vin Diesel aache majungu manake sio mtaji....yamemponza mwenzie Bishanga mpaka sasa hivi anaiona jf chungu!
Erickb52 mekumiss pia shemeji langu la ukwee kwenye mabano (Mwaaaaah)
Arushaone wewe ndelea kupumzika manake hakunaga kama wewe.......namtuma cacico aje kukupepea kwa raha zako!

Shukrani za kipekee na za dhati zimfikie Invisible popote alipo! Be blessed mkuu lol!
sweetlady aise we unapendeka mpaka Invisible kakupa like
Nakupenda sana sweetlady na kwenye mabano tena (yaani hapa sili siambiwi juu yako )
Achana na Vin Diesel ana wivu mpaka amekonda kwa wivu wake huo

mie nipo salam salimini......nasubiri mwaliko napendelea wanzuki Vin Diesel bado anahangover wiki 2 sasa sijui alikunywa nini
Blaki Womani hapo Vin Diesel wala sio ulevi anakudanganya tuu aliteguka kiuno sijui alikuwa anafanya mazoezi gani hebu mchunguze

Hata akisoma yanamuhuuuuu????..... Nakusalimu mwaya!

nakusalimu pia my sweet love sweetlady (futa haraka haraka nitonye na ruttashobolwa wasione

eeeeehhh wifi umbeya suna...... Mr Rocky nini kinaendelea hapa sweetlady amenituma nikwambie anakupenda sijui upendo upi ule wa agape au ule mwingine kama wa Vin Diesel na nitonye..... ruttashobolwa loya wa chit chat toa mwongozo tafazali

Blaki Womani we fikisha salam tuu wala usiulize lolote na nafurahi kuzipokea
wala ruttashobolwa wala 'nitonye hapa hawahusiki sweetlady zimefika salam na nakupenda sana wewe
 
Last edited by a moderator:
The secretary Mwaaaaah kwa kutumia vizuri medula oblangata yako. Arushaone hongera endelea kuwakilisha jiji langu sweetlady miss u sana shemito, salamu zangu kwa nitonye mi nawakaribisha Bishanga Smiling Saint Mentor watu8 St. Paka Mweusi YNNAH wakati ndio sasa mtu chake Judgement Yummy na mumewe Mr Rocky Madame B na mumewe ruttashobolwa waje kumpa like huyu Arushaone.
Mwisho nakuomba sweetlady umfikishie salamu Amyner mwambie nampenda sana kuliko Remmy na The secretary

Najua hunipendi.....mbona huishi kunitajataja? Au huna uhakika na Amyner? It seems hujiamini...
 
Last edited by a moderator:
Vin Diesel nahamia sasa hivi kwenye PM maana naona hapo wivu unakunyonga sweetlady kwenye mabano (mwahhaaaaaa) futa haraka Vin Diesel asione

Hehehehe hata akiona huyu nishamwachaga zamani Mr Rocky.....asikurushe roho lol......hapa namuhofia wifi langu tu manake kwa umbea kashindikana.....nawewe ufute wifi asisome!

Mwaaaaaaaa too......
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom