Eti mwanzisha uzi ni nani? Hehehe, sie ndugu wa damu moja mpaka watuchanganya majina eeh? Haya edit kabla hujamaliza kula.Nashukuru wote jamani hasa mwanzilishi wa uzi huu charminglady na wachangiaji wote.
Nimetoka tu chap kwa lanchi narudi tena, tuonane baadaye. Namaanisha mahakamani kuna kusikilizwa rufaa ya mbunge wa zamani wa Arusha mjini.
LOVE YOU ALL..eace:eace: PAMOJA SANA!!!!!!!!!!!!
Hahahahaaa Blaki Womani muulize yeye watoto wake anawasiliana nao?
Aisee hii nilikuwa sijaiona lol. Mr Rocky ahsante kwa kunipenda mwaya, mie pia nakupenda tena zaidi ya sana! Huyo anaekonda kama vipi asage chupa anywe!sweetlady aise we unapendeka mpaka Invisible kakupa like
Nakupenda sana sweetlady na kwenye mabano tena (yaani hapa sili siambiwi juu yako )
Achana na Vin Diesel ana wivu mpaka amekonda kwa wivu wake huo
Blaki Womani hapo Vin Diesel wala sio ulevi anakudanganya tuu aliteguka kiuno sijui alikuwa anafanya mazoezi gani hebu mchunguze
nakusalimu pia my sweet love sweetlady (futa haraka haraka nitonye na ruttashobolwa wasione
Blaki Womani we fikisha salam tuu wala usiulize lolote na nafurahi kuzipokea
wala ruttashobolwa wala 'nitonye hapa hawahusiki sweetlady zimefika salam na nakupenda sana wewe
Eti mwanzisha uzi ni nani? Hehehe, sie ndugu wa damu moja mpaka watuchanganya majina eeh? Haya edit kabla hujamaliza kula.
Eti mwanzisha uzi ni nani? Hehehe, sie ndugu wa damu moja mpaka watuchanganya majina eeh? Haya edit kabla hujamaliza kula.
sweetlady nakupenda sana aise hiyo sifichi tenaAisee hii nilikuwa sijaiona lol. Mr Rocky ahsante kwa kunipenda mwaya, mie pia nakupenda tena zaidi ya sana! Huyo anaekonda kama vipi asage chupa anywe!
Mwaaaaaa hilo sijaliweka kwenye mabano ili walione vizuri.
Mr Rocky majungu ni noma dahnafikiri uliona nyota nyota haikuwa imeandikwa kwa ajili yako Vin Diesel ngoja aje mwenyewe aisome sweetlady
Blaki Womani itabidi aise maana kama alizoea kuogelea kwenye vidimbwi vya mto ngarenaro halafu kaenda kukutana na maji ya ziwani itabidi tutafute waokoaji charminglady fanya mchakato aise na Judgment huko mumuokoe Erickb52
Hahahahaaaaaaaa haya nambie wanao hawajambo?sweetlady nakupenda sana aise hiyo sifichi tena
naona mwenye wivu mwingine kashakuja Erickb52 sijui kapona kwenye mafuriko ya ziwa Blaki Womani wacha basi mambo yako bana mbona unaniwekea kauzibe kaka yako aise
Hahahahaaaaaaaa haya nambie wanao hawajambo?
Mwaaaasweetlady nakupenda sana aise hiyo sifichi tena
naona mwenye wivu mwingine kashakuja Erickb52 sijui kapona kwenye mafuriko ya ziwa Blaki Womani wacha basi mambo yako bana mbona unaniwekea kauzibe kaka yako aise