Tafsiri ya Majina ya Wana Chit Chat.......

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,514
11,277
Leo nilipitia pale kilabuni kwa Kimario kupata kisusio Bana.. Sasa ile tunapiga piga Stori si Kimario akajifanya anajua Lugha kibao? Nikamwambia Kimario kuna majina JeiEfu huwa siyaelewi yana maana gani. Nikaanza kumtajia akawa ananitafsiria kama ifuatavyo:

Kwanza neno Chit Chat lenyewe amelitafsiri kama Tunga uongo halafu Ongea..
FP - Asali wa Moyohttps://www.jamiiforums.com/members/badili-tabia.htmlsweetlady - Mwanamke Mtamu Mtamu (Pacha,, hadi nimemuonea wivu Nitonye, Lol)https://www.jamiiforums.com/members/badili-tabia.htmlmtu chake - Person hishttps://www.jamiiforums.com/members/badili-tabia.htmlBADILI TABIA - Change Behavior (Tuko wangapi?)
Kongosho - Congo Show (anadai asili yake ni zile Show za akina Awilo enzi hizo)
Paka Jimmy - Cat of Jimmy
Mtambuzi - Mta's Goat
Kaunga - Ka Flour
nyumba kubwa - Big House
Charminglady amesema ni Mwanamke Machachari (mwanzoni nilisikia Machalari mpaka aliporudia tena)
wakati ndio sasa - Time is this now
Kipipi - Ki sweet
Mutukwao
- Person his home
Bishanga - Bi bracelet (njoo uchukue majibu yako huku Arifu)
Arushaone - Arusha moja
Dark City - Mji wenye giza
Erickb52 - Mwizi mwizi wa wake za watu (eti majina yanafanana na tabia za watu?)
figganigga - Figa jeusi ..
Mwanakijiji - Village Son..
King'asti - Amesema haya majina kwa Kiingereza tunaita Weed
Mamndenyi - Anasema ni Mam-Farm kwa Kiinglishi ama Mashambani kwa Kiswahilishi..
Ashadii - New Nokia Version Dii

Pamoja na kutafsiri majina kibao, ila ameshindwa kutafsiri TANMO.

Halafu anawakaribisha sana pale Kimario Kisusio Centre mje kuonja ladha halisi ya Kisusio (ambacho amekitafsiri kama Knife not)

Mapendo.
TANMO
 
Si useme ukweli tu TANMO kwamba jina lako linatafsiri ya ajabu? Usituzuge kuwa ameshindwa kulitafsiri mkuu.
 
Last edited by a moderator:
:smash:
:smash::smash:..............pacha labda usirudi nyumbani leo....:hatari::hatari::hatari:
 
Back
Top Bottom