Jamani wana chit chat hebu njooni tumpe hongera

NDOTO YANGU LAST NITE M/kiti wa kikao Roulette washiriki mimi Arushaone Kaizer Amsterdam Asprin Mentor & Invisible,
Tulichokuwa tunajadili sikumbuki ila lugha ya kikao ilikuwa kijerumani. Ila tulikuwa BWAX kwa mvinyo. Tuliyemteua kugawa drinks no Kaizer na ndiye aliyeanza kulewa. Ndoto bhana.....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
hii inaonesha ulisinzia mchana wakati unatumia jf ikawa ni mwendelezo logicaly hahahah
wie geht es dir Bruder!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom