Jamani wana chit chat hebu njooni tumpe hongera

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Siioni tena hiyo comment...kweli haikuwa yangu

nafikiri uliona nyota nyota haikuwa imeandikwa kwa ajili yako Vin Diesel ngoja aje mwenyewe aisome sweetlady

Mr Rocky sijasoma bana maandishi yamegeuka juu chini.....inawezekana aise charminglady fanya mchakato wa kupata waokoaji Erickb52 alizoea kuogelea mto ngarenaro
BAKi womani itabidi aise maana kama alizoea kuogelea kwenye vidimbwi vya mto ngarenaro halafu kaenda kukutana na maji ya ziwani itabidi tutafute waokoaji charminglady fanya mchakato aise na Judgment huko mumuokoe Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Siioni tena hiyo comment...kweli haikuwa yangu

nafikiri uliona nyota nyota haikuwa imeandikwa kwa ajili yako Vin Diesel ngoja aje mwenyewe aisome sweetlady

Mr Rocky sijasoma bana maandishi yamegeuka juu chini.....inawezekana aise charminglady fanya mchakato wa kupata waokoaji Erickb52 alizoea kuogelea mto ngarenaro
@blaki womani itabidi aise maana kama alizoea kuogelea kwenye vidimbwi vya mto ngarenaro halafu kaenda kukutana na maji ya ziwani itabidi tutafute waokoaji charminglady fanya mchakato aise na Judgment huko mumuokoe Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Hungumalwa wazima kabisa Vin Diesel
huku tunajiandaa na kilimo karibu msimu wa mvua unaanza
mahindi na pamba na mtama na uwele kidogo siku zinaenda aise

Hukuja tena Hungumalwa bana japo uliahidi kuja kuchukua mtama na mahindi kidogo

Tuombe uzima weekend hii naweza kufika huko mkuu...si wajua tena safari ya huko lazima mtu ujiandae kweli kweli
 
samaki washamfanya kitoweo Mwita Maranya okoa jahazi

Kweli aise ngoja tuombe msaada wa uokozi kwa wataalam

Uko salama lakini Blaki Womani

Tuombe uzima weekend hii naweza kufika huko mkuu...si wajua tena safari ya huko lazima mtu ujiandae kweli kweli

Halafu uje bana binti wa mjumbe anaolewa wiki hii bana kwa hiyo hapa Hungumalwa ni sherehe sherehe tupu bana kuna pombe za kienyeji tupu huku hakuna cha ndovu wala sijui castle lite wala gordons wala jack daniel Vin Diesel
 
Last edited by a moderator:
Sweetlady my baby huko unakokwenda utaleta utata kwenye ndoa yako na mwanangu. Arushaone alinitosa mi mama mkwe wako na familia bado ina hasira nae. Madameb ndo alinipindua.
 
Hongera Arushaone
naomba anunuliwe roshoro
Huyu ni wa kule unga limited!

Kijana Arushaone anajitahdi sana kutoa like sio siri, ila kuna members hapa like zao sometimes inabidi ujiulize mara mbilimbili, utakuta mtu umepost unaumwa ye ana LIKE,umeibiwa ana LIKE,umeuliza swali anaLIKE,umekuwa divorced ana LIKE, yaani ni LIKE,LIKE,LIKE kila thread
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky mzima...... Erickb52 vibambala na sangara vinamchanganya nawasiliana na Arushaone amfwate usikute amepotelea ziwani.......hapo kwenye mabano pameandikwa nini
Blaki Womani hapo kwenye mabano ya Mr Rocky amesema "ananipenda" plz mwambie nampenda pia afu uache umbea! Mjumbe hauwawi hivyo mwambie na Vin Diesel aache majungu manake sio mtaji....yamemponza mwenzie Bishanga mpaka sasa hivi anaiona jf chungu!
Erickb52 mekumiss pia shemeji langu la ukwee kwenye mabano (Mwaaaaah)
Arushaone wewe ndelea kupumzika manake hakunaga kama wewe.......namtuma cacico aje kukupepea kwa raha zako!

Shukrani za kipekee na za dhati zimfikie Invisible popote alipo! Be blessed mkuu lol!
 
Last edited by a moderator:
Kweli aise ngoja tuombe msaada wa uokozi kwa wataalam

Uko salama lakini Blaki Womani

Halafu uje bana binti wa mjumbe anaolewa wiki hii bana kwa hiyo hapa Hungumalwa ni sherehe sherehe tupu bana kuna pombe za kienyeji tupu huku hakuna cha ndovu wala sijui castle lite wala gordons wala jack daniel Vin Diesel

mie nipo salam salimini......nasubiri mwaliko napendelea wanzuki Vin Diesel bado anahangover wiki 2 sasa sijui alikunywa nini
 
Aisee Arusha one namkubali sana hata mm kanigongea like za maana mpaka nilishangaa mwenyewe..

Tatizo la most of us ambao hatutoi like sio kwamba tunapenda kutotoa like, ni kwasababu tunatumia simu muda mwingi...mf kama mm ninakitu kama wmwezi sijatumia pc .

Ila Arusha one you owe my like..

Huo mwezi ambao unakuwa unatumia pc hakikisha unamlipa Arushaone like zake zote!
 
Last edited by a moderator:
Blaki Womani hapo kwenye mabano ya Mr Rocky amesema "ananipenda" plz mwambie nampenda pia afu uache umbea! Mjumbe hauwawi hivyo mwambie na Vin Diesel aache majungu manake sio mtaji....yamemponza mwenzie Bishanga mpaka sasa hivi anaiona jf chungu!
Erickb52 mekumiss pia shemeji langu la ukwee kwenye mabano (Mwaaaaah)
Arushaone wewe ndelea kupumzika manake hakunaga kama wewe.......namtuma cacico aje kukupepea kwa raha zako!

Shukrani za kipekee na za dhati zimfikie Invisible popote alipo! Be blessed mkuu lol!

eeeeehhh wifi umbeya suna...... Mr Rocky nini kinaendelea hapa sweetlady amenituma nikwambie anakupenda sijui upendo upi ule wa agape au ule mwingine kama wa Vin Diesel na nitonye..... ruttashobolwa loya wa chit chat toa mwongozo tafazali
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom