jamani Wabongo uvaaji gani huu?

jamani Wabongo uvaaji gani huu?

mchonga

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2006
Posts
1,233
Reaction score
249
DSCI0615.jpg
 
sipendi kuona mke wa mtu kama huyu anatangaza biashara
 
Mama weeeeeeh!!!! ngoja kwanza nikavae miwani.
 
duuh mama mia --- norma maji matupu -- is it broiler kuku au arv ???
 
mnh design ka kapaka dawa za kichina mana ngozi intaka kudondoka
 
Back
Top Bottom