jamani Wabongo uvaaji gani huu?

hizo hizo cellulite wako wengi wanazipenda. tena wanaume wa kiafrika ndio za kwao.
madame kama yupo kazini au kwenye starehe, basi hakika amebeba zana zinazokubalika
 
Kuiga kungine hakufai jamani tuangalie na miili yetu inafananaje....hii Western world itatumaliza asili yetu waafrica...
 
Si rahisi kujudge kama hayo mavazi aliyovaa huyo dada ni appropriate au la bila kujua alikuwa kwenye occassion ipi...
 
DSCI0615.jpg

Hii miguu ya kwakwe ama yakubandika? nothing but hopelessness...
 
hamna kitu humo spot kibao,imekaa kama kitomoto yenye homa

hizo spot ni athari ya macream ya kutaka weupe na madawa ya kichina....lkn hapo hamna kitu, kizuri hufunikwa vizuri, ila kibaya huwa kinafanyiwa fashion show ili kipate promo.
 
Haya mazingira yanaonekana ni ya disco au sehemu ya starehe. Sasa mnategemea mtu akienda disco avae kanzu? Aaah, tuende na mazingira jamani...
 
yatawashinda watanganyika!!!
toto rangi ya chungwa, yupo katulia kama maji ya mtungi!
kama hupendi hujalazimishwa ati!
ila, i can tell you wapendaji wa vyombo/mali kama hii wapo wengi ati!!
 
Samahanini jamani mbona mimi naliona kama linatia kinyaa hasa huko miguuni, yaani ngozi mbaya!
 
Back
Top Bottom