the thing is......🙂
Uandishi wa habari nadhani ni wito.. huwezi kunijibu kishenzi shenzi halafu namuona ni kama kigogo changu cha mwisho nakutandika makofi halafu iwe habari juu ya habari... who cares? najua katanishtaki na nitahonga vile vile (but nimebutua ili siku ingine waandishi wenzangu wawe respected kidogo khaa)
Madada zetu mnaboa sana, mnachanganya kiswahili na kiingereza utadhani mko bungeni, huyu binti sana sana mapedeshee watamchezea tu mpaka atachoka, akishachoka ndio mwanzo wa kuzeeka na kuchuja kisanii, tumeshaona wengi wa namna hiyo
sawa anamuonekano safi,lakini asidhani kwamba jinsi anavyohisi alivyo anaweza kupasuka kiingereza bila kuingia class anajidanganya tu.walikuwepo lakini sasa hawasikiki ngoja masela waendelee kuchovyachovya asali ikiisha kauka hapo ndipo ataanza kujifahamu .
...huu ujinga wa'Mtoto wa Watu'ndio unaowaponza watoto wetu na kuwafanya wawe hivi. Mtoto akiwa mtoto ni WETU SOTE na wazazi wake wanapolemaa lemaa kumpa shule ya maisha ni wajibu wetu sote kufanya hivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.