nadorim
Senior Member
- Jun 12, 2015
- 158
- 24
hivi kwamfano umepewa ujumbe umfikishie rafiki yako unashindwaje kumfata pembeni ukamwambia mpaka ukamwambie kwenye watu wengi kila mtu ajue mambo yake?kuna mtu ameniudhi sana leo kaagizwa aje ampe ujumbe sister kaja mwambia mbele zawatu kila mtu kasikia hadi aibu maana ujumbe wenyewe ni wa deni.Kweli haya mambo gani lakini?Si mtu umwite pembeni umwambie?sio ustaharabu huu.