Jamani ustaharabu kitu cha bure!

Jamani ustaharabu kitu cha bure!

Au unamdai mtu pesa anakujibu DUNIA duAra! Mwambie alipe pesa Za mwenyewe.
 
Dawa kulipa ila asiaibishwe tena, Kama ni wewe pole raha ya deni kulipa.
 
Dawa ya deni ni kulipa, na wapa sio aibu....
 
Huyo mleta ujumbe yupo humu? Au unatushirikisha tu jinsi ulivyovurugwa leo. Nahisi uyo mdaiwa ni wewe! Kama huwa mgumu kulipa unaziona hela tamu, acha kukopa!
 
Umesema ni "sister" ako eeh? Naweza saidia hilo deni kama atahitaji. On serious note!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom