kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Kwa mara ya kwanza jana nimeshuhudia kwa macho yangu kitu ambacho nilikuwa nakisikia tu.
Hivi mnawafahamu dunga dunga nyinyi
Jana natoka zangu kariakoo naelekea mbagala. Nashukuru Mungu nilipata kiti. Gari ilikuwa nyomi kama kawaida ya mabasi ya mbagala.
Tumefika KTM mama moja mwenye makalio ya haja yeye akupata kiti, alikuwa amebanwa na mtu moja wa makamo hivi. Kufika KTM mama kastuka baada ya kuhisi something wrong kwa makalio yake, alikuwa kasimama jirani yangu. OMG mama kachafuliwa kwa nyuma. Jamaa aliyekuwa nyuma yake kashuka fasta hapo KTM mama kabaki kashikwa na butwaa. Kaloweshwa
Inaonekana jamaa alivaa nguo nyepesi ila bado najiuliza. Why jamaa hata bila kuchomeka mkuki kwa shimo ameweza kumaliza. Kweli wa henga wamesema, tembea uone mengi.