Jamani ubinadamu kazi ....

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,050
361
Ukipenda hakuna anayehisi unapenda.......ukilia hakuna anayehisi machungu yake......ukiumia hakuna anayehisi maumivu yako....jaribu kujamba uone kila mtu jicho kwako.
 
Labda tubandikwe plasta mwaka huu. Najiachia, nikishindwa mbele za watu, japo pembeni. Unajuwa watu hawajuwi umuhimu wa mwili kujieleza hasa hasa kujamba. Raisi wa mwanzo Marekani alitoa ruhusa ya kujamba ktk hadhara ya watu kwa kujuwa umuhimu wa tendo hili.
 
Ukipenda hakuna anayehisi unapenda.......ukilia hakuna anayehisi machungu yake......ukiumia hakuna anayehisi maumivu yako....jaribu kujamba uone kila mtu jicho kwako.
Astaghafulallah, ukiwa karibu na mimi nakutia bakora sababu umechafua hali ya hewa!!!:A S 13:
 
Malawi imetungiwa sheria kabisa, ole wako ujambe, na wameagiza testa kabisa ya kubaini aliyejamba katikati ya wengine.
 
Back
Top Bottom