Tatizo si kmueleza muhusika humpendi,ila ni kifuatacho baada ya kumueleza hiyo habari. Wengine wanalaumu na kulalama utadhani wanakuombea laana mbele za Mungu......!tena kuna baadhi ya makabila wako dhaifu sana mpaka unaanza kuhisi mawazo yatamuua siku chache zijazo....