Kitang'wa1
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 460
- 285
Huwa sipendi zile unapanda na mziki sauti ya juu sana, namwambia kabla, tafadhali usiwashe radio sauti ya juu ama usiiwashe kabisa, nilipotoka ni kelele tosha, na hata spidi namuomba iwe ya kiistarabu inayoeleweka, siyo kukimbia kimbia tu hovyo, akiwa mbishi kidogo, namuomba awe abiria nimuongoze mimi. Namuelewesha tu, maana Kuumia ama kuvunjika ukubwani, vitu vingi utavikosa ama vitakupita, nani anayataka hayo?!
Ahsante!
Ahsante!