Jamani TUNDU LISSU yupo humu JF?Watanzania wenzetu wanaangamia.

Yani haya majamaa yamezoea kusemwa sisieeeem, yanajaa masifa. Hapa kwenye swala la kifo kuna haja ya kuchapa mtu kofi ya shavu.
 
Ni kweli kabisa bila kumumunya maneno cdm ni mkombozi wa wachaga


Kama jinsi familia yako na ndugu zako wa huko vijijini wanavyotaabishwa na utawala mbovu wa serikali ya ccm

- mfumko wa bei kuwa mkubwa na sasa watu wa ukoo wako huko vijijin hawaujui wali, wewe unaupata wali baada ya kuhongwa na ccm.

- Kama ilivyo kwa babu, bibi na ndugu zako wanavyoteseka na kufa ovyo kwa kukosa matibabu na hii ni kwa sababu ccm wameiba na kuendeleza serikali ya kitapeli na kifisadi.

- Kama ilivyo kwa watoto wa ndugu zako kukosa elimu bora na kukosa matibabu bora, wewe umekalia kufaidi visenti peke yako na wachache wanaokuzunguuka kwa ufisadi, huko kijjin kwenu ukoo mzima unateketea kwa ccm kushindwa kuunda serikali bora bali kuweka wezi na mafisadi kutuongoza.

Watu kama wewe nikama koleo lisilo na mwenyewe hata kinyesi laweza kutumika nawakati huohuo likatumika kukuzikia na ccm itawazika watu wa ukoo wako wote huko vijijin kwa upumbavu na ubinafsi wako wa kufrahia matakwa ya upumbavu wa kichwa chako kukubali kutumika na wapumbavu wa ccm.
 
Ni kweli kabisa bila kumumunya maneno cdm ni mkombozi wa wachaga


Hizi ni akili za panzi maana ccm haina wachaaga! bali wenye akili kama zako si ajabu hata kabila lako hulitambui maana siri ya nani

baba yako halisi ni ya mama yako, mbona mama yako alimtoka baba yako aliyekulea akamzunguuka akaenda na mchaga na wewe

ukatokea unalijua hilo?, baba yako halisi ni mchaga kama unabisha kamuulize mama yako na utuletee

ushahidi wa picha endapo mama yako atakanusha kwamba wewe siyo mchaga utaona, si anaeleweka!!!


Ngoja abishe utaona.
 
Tundu Lissu vichanga wanateketea kwa utapia mlo, pamoja tuwanuzuru hili taifa la kesho.
 
Nimesikia Waziri Kagasheki leo atakuwa ktk eneo hilo na atafanya mkutano na wananchi. Hebu tusubiri tuone ccm na kutapatapa kwao.
 
Wananchi watakula nyasi asema........, shangingi lazima zinunuliwe, halikadhalika safari za nje hadi madereva.
 
Back
Top Bottom