Jamani tunaomba po!

Jamani tunaomba po!

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
20,993
h.jpg

zamani, sio hata mbali wanaume ndio walikuwa ndio wanaongoza kwa kusaliti wachumba na wake zao.siku hizi naona hali inabadilika na si muda hawa dada zetu watatupita kwa kucheat. kuna jamaa ananiambia ana maex zaidi ya wanne na wameolewa lakini ana access nao!. jamani mtatuua wenzenu mnajua tuko sensitivee sana na hizi ishu na mbaya zaidi hamkubali makosa kama huyo juu na huyu hapa chini
wife_cheating_on_husband.jpg

images

wadada tufanyeje msitucheat?. kama ni some sort of a game au revenge, tunaomba po!
 
Life goes on...!muhujumu wa kirevi niongeze kiroba chengine tasavali kile cha barrrrrrrdi sana
 
Mkubwa raha jipe mwenyewe ukingoja kupewa utakufa kwa kwashiokor ya pressure
 
cheating is a manmade phenomenon which simply doesn't exist ...!
 
kama nyie mnachiti,y wake zenu wasilipize
kunya anye kuku,akinya bata kaharisha heheee?!!
 
Kama uko kwenye ndoa halafu ukisoma thread kama hii inauma mjue, msiongee haya mambo jamani. Nipeni matokeo ya yanga kwanza
 
Back
Top Bottom