Jamani tumuombee bakulutu anaumwa sana

Jamani tumuombee bakulutu anaumwa sana

Aksante waungwana kwa support yenu, mungu ni mwema na shetani kwa shindwa kwa kasi ya ajabu, nimepata hauweni na sasa niko vyema kidogo kuendelea na majuku.
Mungu awabariki saaana na nawatakia x-mass njema na mwaka mpya mwema wenye mafanikio na amani.
Jf daima.

Mungu ni mwema, inapendeza kujumuika nawe tena...
 
baku....tu jaman poulee utapona eeeeh.

Shikamoo babu Asprin

Mkiva za wewe me mis uu

Page itajaa na wengine nyie jambo kabisaaa
 
sawa Aspirin nitakuja huko kukaguliwa maana mmenibana koo nyie sijui mnataka nini kwangu acha NIKUBALI BHANA
 
Ndiyo,natoka kuamka babu Asprin.
Mbona hujaniamkia, unantaka?

Hivi Asprin hajafika kujibu hii salamu?
Siyo hiyo tu hommie, kuna nyingine hizi hapa chini....

sawa Aspirin nitakuja huko kukaguliwa maana mmenibana koo nyie sijui mnataka nini kwangu acha NIKUBALI BHANA
Karibu pande hii ladyfurahia, uje without. sawa eh?

Shikamoo babu Asprin
Marahabaa mjukuu wangu mpenzi. Utakuja lini kumtembelea babu. Mie babuyo nimekumisi sana ujue.
 
Last edited by a moderator:
Wewe sasa una matatizo acha nikuache ila arushaone akikuona unaniita upande huo atakunyonga
 
Mbona hujaniamkia, unantaka?

Siyo hiyo tu hommie, kuna nyingine hizi hapa chini....

Karibu pande hii ladyfurahia, uje without. sawa eh?


Marahabaa mjukuu wangu mpenzi. Utakuja lini kumtembelea babu. Mie babuyo nimekumisi sana ujue.

Hahaha...babu Asprin una mambo wewe,eti nakutaka!!
SHIKAMOO BABU ODM!!
 
Last edited by a moderator:
Bakulutu pole sana, bila shaka utakuwa umeshatoka hosp.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom