Jamani tumuombee bakulutu anaumwa sana

Filipo mbona huyo pepo unayetaka ashindwe bado hajaleta madhara?
Between me & you , uko na personal interest huku kwa huyu bidada?

Roho ya Kaini imemwingia huyu jamaa. Analete mapenzi kwa anayemuhudumia mgonjwa. Hauoni hatari ya mgonjwa kupata mauti kwa kukosa huduma! Ndio maana nakemea mpz! Hakuna personal interest yoyote ingawa jina lake ni tamu sana kwa kweli!?
 
Last edited by a moderator:
Roho ya Kaini imemwingia huyu jamaa. Analete mapenzi kwa anayemuhudumia mgonjwa. Hauoni hatari ya mgonjwa kupata mauti kwa kukosa huduma! Ndio maana nakemea mpz! Hakuna personal interest yoyote ingawa jina lake ni tamu sana kwa kweli!?

Nibadilishe jina?
 
kwani kuna ubaya gani mtu akinipenda jamani weee FILIPO mbona uko hivyo muache ameamua na ni maamuzi yake?

Hali ya mgonjwa sasa inaendelea vizuiri lakini sio sana jamani tuendelee kumuombea tu Mungu amponye
 
Yaelekea hajua madame B na Ruttashobolwa yeye siye ndugu yake ila anakaa karibu na hapo alipolazwa Bakulutu yaani hapo tumbi kibaha
 
naomba msinibadilishe jina langu samahani sana waungwana mm niko namhudumia mgonjwa jamani kwanini mnaleta maneno hayo hayafai hapa jamani acheni.
 
Filipo mbona huyo pepo unayetaka ashindwe bado hajaleta madhara?
Between me & you , uko na personal interest huku kwa huyu bidada?

Ahsante kwa taarifa. Kumbe Bakulutu ni mdada! Sikumbuki kama nshamkagua huyu. Marry Hunbig naomba mwongozo hapa.

Mungu akuponye mjukuu wangu Bakulutu, ugua pole mama.

Ukipona u-come this way please......
 
Last edited by a moderator:
hivi wewe utani gani huo ulionao jamani hata kwa mgonjwa hujui mgonjwa ni jinsia yakosasa hiyo mimba haipate wapi acha hiyo lugha sio njema kabisa Mungu akusamehe kwani huujui unalolinena wewe, na chunga kimywa chako acha mzaha
hebu soma kifungu hiki cha maandiko nadhani utapona moyo wako uliojaa midhaha isiyona msingi wowote Proverb 1:1
 

Attachments

  • getwell soon nzuri.jpeg
    getwell soon nzuri.jpeg
    10.4 KB · Views: 53
sio mdada jamani heeee acheni kudandia magari moshi nyie jamani muuombeeni tu sio lazima kutaka kujua jinsia yake
 
sio mdada jamani heeee acheni kudandia magari moshi nyie jamani muuombeeni tu sio lazima kutaka kujua jinsia yake

Kuna ubaya gani watu wakijua jinsia yake? Kuna jukwaa la love connect humu watu wanataka wajaribu bahati zao. Au ndo baba watoto wako, naona umekuwa mkali kama nyigu.
 
Mungu ni mwema Bakulutu ame pewa ruhusa leo asubuhi na anaendelea vizuri!

Tuendelee kumuombea.
 
Last edited by a moderator:
HEY WAUNGWANA NILIKUWA NA KAKAZI KIDOGO HAPA OFISINI NA NIMEJISAHAU KUWAAMBIA HILI MNISAMEHE
BAKULUTU AMERUHUSIWA LEO ASUBUHI KUTOKA PALE TUMBI HOSPITAL NA ANAENDELEA VIZURI ASANTE SANA MAOMBI, DUA NA SALA ZENU PAMOJA NA UKARIMU WENU MLIOUONYESHA PINDI NILIVYOLETA BAD NEWS HII. KWA WALE WALIO RAFIKI WA MOYONI MSISITE KUMTWANGIA HAPA NAYE ATAONA NA KUWAJIBU VYEMA YALIYOMPATA YOTE HAYO. NA KWA MARAFIKI ZANGU WASIOISHIA KUWA WATANI SANA HASA HATA KIPINDI HIKI AMBACHO HATUONI UTANI HAPA NA TUKO SERIOUS KWA MAMBO KAMA HAYO ILA WAO WANAFANYA UTANI TU BASI MUNGU WA MBINGUNI AWASEMEHE KWANI WAHAJUI WALITENDALO NA WALINENALO.

bE BLESSED NYOTE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom