Jamani tumuombee bakulutu anaumwa sana

Mungu ni mwema Bakulutu ame pewa ruhusa leo asubuhi na anaendelea vizuri!

Tuendelee kumuombea.

Tunashukuru kwa taarifa mkuu. Naendelea kumuombea arudi kwenye hali yake ya kawaida.

Naomba mwongozo wako, huyu mgonjwa wetu eti ni hhe au she? Huyu ladyfurahia naona anatubania tu hapa.
 
Last edited by a moderator:
nadhani unataka kufahamu na ukishafahamu sasa iweje? haya ni rafiki wa rutta, una lingine la kusema ongea uwanja ni wakko
 
unaomba MWONGOZO kwani hapa tuko bungeni nenda DODOMA kaombe huyo mwongozo kama hayajakutoka ya puani wewe aspirin nilishakwambia ni he unataka nini wewe jamani?
 
unaomba MWONGOZO kwani hapa tuko bungeni nenda DODOMA kaombe huyo mwongozo kama hayajakutoka ya puani wewe aspirin nilishakwambia ni he unataka nini wewe jamani?

Ahsante kwa taarifa. Mungu amponye kijana wetu arudi kwenye hali yake ya kawaida mapema.

Sema amina ladyfurahia tafazali.
 
Last edited by a moderator:
haya ameni umefurahi sasa

Sijafurahi kwa kuwa una tabia mbaya. Unagoma kujibu maswali na pia u mkaidi sana. Kwa mfano nimekuambia useme Amina we umesema AMENI. Tuhame tuelekee wapi?

Sema Amina ladyfurahia ili sala zangu zifike panapostahili.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kwa taarifa. Kumbe Bakulutu ni mdada! Sikumbuki kama nshamkagua huyu. Marry Hunbig naomba mwongozo hapa.

Mungu akuponye mjukuu wangu Bakulutu, ugua pole mama.

Ukipona u-come this way please......

Akaguliwe haraka sana huyu mkuu Asprin.
Afu lile pendekezo langu la kupata mdada wa kukagua wakaka humu liliishia wapi?
Kuna wakaka humu wanaleta vurugu sana,mfano ni huyu MzunguMndali!
 
Last edited by a moderator:
jamani mm sio mkaidi wala mkali kama pilipili ndugu yangu mm niko poa sana tena sana ila mnataka kuniaharibia jina langu bure humu MMU haya basi acha niseme amina
sijui na hapo umefurahi aspirin
 
jamani hata wewe marry jamani ninayekuamini na kukupenda kwa moyo wote unasema hayo kwamba mm nikaguliwe jaamani achana nao akina aspirin wameamua kunichafulia jina langu humu MMU mm sipendi kabisa jamani niacheni msiniseme kiasi hichi siko hivyo jamani ahaaa!
 
Aksante waungwana kwa support yenu, mungu ni mwema na shetani kwa shindwa kwa kasi ya ajabu, nimepata hauweni na sasa niko vyema kidogo kuendelea na majuku.
Mungu awabariki saaana na nawatakia x-mass njema na mwaka mpya mwema wenye mafanikio na amani.
Jf daima.
 
jamani hata wewe marry jamani ninayekuamini na kukupenda kwa moyo wote unasema hayo kwamba mm nikaguliwe jaamani achana nao akina aspirin wameamua kunichafulia jina langu humu MMU mm sipendi kabisa jamani niacheni msiniseme kiasi hichi siko hivyo jamani ahaaa!

Usijali mpenzi ladyfurahia,tulikuwa tunachangamsha kijiwe tu,usichukulie siriazi kihivyo.
Pamoja sana.
 
Last edited by a moderator:
Mungu ampe nafuu na kumponza ndugu bakulutu.kwauwezo wake yeye pekee yake atamponya
 
Akaguliwe haraka sana huyu mkuu Asprin.
Afu lile pendekezo langu la kupata mdada wa kukagua wakaka humu liliishia wapi?
Kuna wakaka humu wanaleta vurugu sana,mfano ni huyu MzunguMndali!
Kagua huyo mutu mama.... kagua!

Ila kabla hujamkagua ....come this way nikukague nijue kama una sifa za kukagua....:mwaaah:
 
Mkuu Asprin,hivi huyu ladyfurahia alikaguliwa kweli?
Naona ni mkali kama pilipili.

Akaguliwe haraka sana huyu mkuu Asprin.
Afu lile pendekezo langu la kupata mdada wa kukagua wakaka humu liliishia wapi?
Kuna wakaka humu wanaleta vurugu sana,mfano ni huyu MzunguMndali!

jamani mm sio mkaidi wala mkali kama pilipili ndugu yangu mm niko poa sana tena sana ila mnataka kuniaharibia jina langu bure humu MMU haya basi acha niseme amina
sijui na hapo umefurahi aspirin
Amina ladyfurahia lakini umewasoma hao wananchi hapo juu?

Njoo ukaguliwe mama. Ili uwe premium member wa JF
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom