Jamani tumsikilize mtabiri huyu

Jamani tumsikilize mtabiri huyu

Katoriki
frash
lamadhan
taalifa ya habali
frola
fila
laisi Kikwete
mborea
l
 
Mtabiri mmoja ambae hakutaka kina lake litajwe , ambae makazi yake nje kidogo ya jiji la daresalam ila kazi zake hufanyia katikati ya jiji hilo , ameibuka na kuwaasa watanzania kupunguza safari hasa za masafa marefu kwa mujibu wa utabiri wake alioutoa mwanzoni mwa mwaka , kwamba kutakuwa na mfululizo wa ajari ambapo watu wengi watapoteza maisha katikati ya mwezi february na june, yaani march, april na may, na ajari hizo zitaitimishwa na ajari kubwa ya majini itakayotokea kati kati May mwishoni mwa May ambapo watu wengi watapoteza maisha, amesema watu wasisahau misikitini , makanisani kumuomba mungu aepushe hilo, ila kuanzia july hakutakuwa na ajari Zinazoghalimu maisha ya watu wengi kwa mara moja:

Duh! Na Mwezi May Huo Huo Nategemea Kuanza Ruti Nyingi Kupitia Kivuko Chetu Kipya Cha Mv Dar es Salaam. Ngoja Nitafakari!
 
Kwa hiyo tuwasiliane na nani ili tumpate huyo mtabiri nataka anitabirie siku ya kufa kwangu

Ufemarambili.mpwaa wasilianana korona uanzekuwekza wasipateshidajamaa

Wapileo nokogreen......tabata nakulaivibendi
 
Mpwa ujaawahi e kuzikasiku zakaribuni watumishi wa Mungu wanatuita MAREHEMU WAtarajiwa nabidi tujiwekesawa nahasajamaa wakkaribu na clouds wameanza kupokea dep naongelea korona ukiondoka. nduguwasipate kusumbukambaki nakuhonga traffic waruhusu gari tusilazane nyumbayamilele usiku. jamaawanakuwa. washafunga. milangokulejuu inabidi ulalenjepaka asbh
 
Huyo Njaa Zinamsumbua Hakuna Nafsi Inayojua Itakufa Lini Na Wapi!Kifo Hakikwepeki Hiyo Ni Siri Ya Mwenyezimungu Tu.
 
Kwa hiyo tuwasiliane na nani ili tumpate huyo mtabiri nataka anitabirie siku ya kufa kwangu

hili lipo ndani ya uwezo wako kama kweli unajua thamani ya uhai wako believe me or not!
 
Katoriki

frash

lamadhan

taalifa ya habali

frola

fila

laisi Kikwete

mborea

l


Hapa ndipo lugha inapoelekea kuharibika. Jaribu kusikiliza watu wakiongea. Huwa napata tabu sana kuona kijana ame graduate juzi tu lakini lafudhi hakuna kabisa, lugha anaiharibu sana...juzi nikaona bandiko la mtu anajiita "mwalimu", anaandika..." apaha, ata sijakuerewa"...wtf!!!
 
Huyo ni mshirikina na si mtabiri na hakika hakuna mtabir duniani na yoyote mwenye kujipa cheo hicho yeye ni mshikina tena baba lao, vipi atabiri ajali wakati janga au neema yoyote itakayotokea dakika 3 zijazo mwanadamu hajui, yeye anapata mambo yatakayotokea miezi ya mbele?, kama anajua sana kwanini asubuh asingekuwa anaenda ubungo, kuwashauri wamiliki wa mabasi ambao siku hiyo watapata ajali?
 
Yule Babu wa Loliondo bado yuko hai......Nakumbuka waziri wa afya wa kenys alisema akamatwe na kushitakiwa kwa murder na anyongwe mpaka kufa.
Sijui kama kuna watu siku hizi wanawakubali hai watabiri...hata watabiri wa hali ya hewa wanakubalika mafuriko YAKISHATOKEA na kuathiri watu wa mabondeni.
 
Back
Top Bottom