BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Huu ni wizi wa mchana kweupeeee yaani kwa siku tano wanacheza maeneo ya bilioni almost 200 million per day!
"POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kikosi cha Usalama Barabarani, wamekusanya zaidi ya Sh milioni 888 kwa siku tano kutokana na makosa ya usalama barabarani. Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Simon Sirro alisema ukamataji wa makosa hayo ulifanyika Aprili 19 hadi 23, mwaka huu" Hii ni Copy and Paste. Tafakari.