Jamani Trafiki Wanakera sana!

Jamani Trafiki Wanakera sana!

Wanapenda kupanda juu yamiti huwa naomba siku moja wagongwe na nyoka ili wakome
 
Hiv kuna trafiki wasumbufu kama hawa wanao shinda Mbezi kwa yusufu???. Kwa macho yangu nimeahudia wakisababisha ajali mara mbili.
 
9da5a9540c330f12cc7d0912a0d21248.jpg

Ni huyo ndio alikupiga picha mkuu
 
Mimi ninayo ile app ya kujua cameta ziko wapi. Cha kushangaza unaweza kuwa unaendesha gari polini kabisa na hakuna kibao cha 50 lkn utasikia simu ina toa alarm na kukujulisha kuwa kuna camera. Huo ni uthibitisho kuwa hela inatafutwa kwa lazima. Huu utaratibu wa kurusha picha ni mbovu hakuna mfano
Naomba unisaidie hiyo app mkuu
 
Hivi ukishalipa mara moja ukapewa risiti, ukikamatwa tena kwenye safari hiyo hiyo, unalipa tena?????
 
una lidar detector? fafanua kidogo mkuu
Mimi ninayo ile app ya kujua cameta ziko wapi. Cha kushangaza unaweza kuwa unaendesha gari polini kabisa na hakuna kibao cha 50 lkn utasikia simu ina toa alarm na kukujulisha kuwa kuna camera. Huo ni uthibitisho kuwa hela inatafutwa kwa lazima. Huu utaratibu wa kurusha picha ni mbovu hakuna mfano
 
Magufuli kashawapa kichwa kawaambia wachukue hela ya kupiga brush viatu, mnategemea nini?
 
Sasa unalalamika unakamatwa wakati unasimama mwenyewe...kimbiaa
Leo nilikimbizwa na mkuu wa kituo akiwa na gari yake binafsi huko maeneo ya Kanda ya ziwa.Kumbe alikuwa amebeba malaya kwenye Noah yake halafu alikuwa anataka kumuombea lift kwenye gari langu.Baada ya kumuosha akaanza kufukuzia nyuma huku akitiwa moto na yule hawara yake mwisho wa siku akatenga gari mbele na kuanza kupiga mikwara huku amevaa kiraia.Yaani hawa kina ngosha huwa wanajidharirisha sana pindi wanapopewa vyeo.

Sent from my GT-I9060 using JamiiForums mobile app
 
Mi nissan yangu y62 platinum edition
Hua ni spidi kanzia 240 kwenda mbele
Kwenye humps ni 70 km/h
Wanikamatie wap kwa mfano
My take
Kimbiza gari kadri uwezavyo
"Mwendo mdogo main road ni chanzo cha ajari"
 
Hilo ndo tatizo lao wanapenda lift balaa
 
Nilikuwaga nayo hii... Hivi inafanya kazi kiuhakika kabisa au magumashi?
Mimi naona kama magumashi vile
Ndio michezo yao hao jamaa; siku hizi wanalazimisha utoe hela kwa nguvu. Sheria ibadilishwe TANROADS iwajibike pale ambapo max speed ni kiwango fulani basi vibao viwekwe mfululizo umbali usiozidi mita 100 kila kibao ili kutoa msisitizo.

Kuna kakijiji fulani hapo unakaribia kuimaliza Pwani kuingia Tanga; kibao cha 50 na cha kuifuta 50 viko umbali wa zaidi ya km. 5; yaani hapo matrafiki wanapapenda kuliko eneo lolote Tanzania. Kakibanda kao ka nyasi (upande wa kulia kama unaenda Segera) kametegeshwa mahali ambapo huwezi kuona kibao cha upande wowote na ni lazima uingie mkenge tu. Huu ujanja ujanja wa kitoto ufike mwisho kama ni hela sio kwa utaratibu huo.

Pole ndugu,
hili tatizo ni kubwa na polisi wanapenda sana huo mchezo. Wanapata wapi kiburi mimi sijui lakini hawahusiki kwa namna yoyote na usalama wa barabarani bali wanachofanya ni ujanja (wizi) wa nguvu kwa fedha za wananchi. Alama za barabarani hazipo zinapostahili kuwepo na askari wetu wanatumia mwanya huo kupiga hela chafu na wengine kuwa TRA.
Nchi hii inasikitisha!

Mi nissan yangu y62 platinum edition
Hua ni spidi kanzia 240 kwenda mbele
Kwenye humps ni 70 km/h
Wanikamatie wap kwa mfano
My take
Kimbiza gari kadri uwezavyo
"Mwendo mdogo main road ni chanzo cha ajari"
 
Nina mwaka sasa sijakamatwa na traffick...dawa ni ndogo huwa nawakimbia.

Wakipiga mkono nakamua mafuta.....mwendo wa racing.
Ha ha ha ha ha ndio dawa yao hiyo, kuna siku trafiki mmoja aliniungia na bodaboda baada ya kutokusima nilimuonesha maana halisi ya Nissan Safari ukiangalia hapo nimetoka kupigwa hela na trafiki hao hao week kama mbili zilizopita mbona aliisoma namba wanakera sana hawa jamaa yani sisi tumekuwa kama ng'ombe wakuwapa maziwa wao na nashukuru kweli kulikuwa hamna foleni siku ile maana fungu lingine lingenitoka 🙂 🙂
 
Mimi ninayo ile app ya kujua cameta ziko wapi. Cha kushangaza unaweza kuwa unaendesha gari polini kabisa na hakuna kibao cha 50 lkn utasikia simu ina toa alarm na kukujulisha kuwa kuna camera. Huo ni uthibitisho kuwa hela inatafutwa kwa lazima. Huu utaratibu wa kurusha picha ni mbovu hakuna mfano
Mimi siku moja simu ililia ghafra porini kabisa hakuna kibao cha 50, nikaitungua tu, kufika mbele nakamatwa nilikuwa overspeed, nikawaambia hii gari sio ya abiria ( bus) wakaniacha nikaondoka, ila simu zimesaidia sana

Pia siku hizi wanapenda kupanda maroli, sasa ukiovertake sehemu ambayo sio,mbele yako wana wewe
 
Mimi ninayo ile app ya kujua cameta ziko wapi. Cha kushangaza unaweza kuwa unaendesha gari polini kabisa na hakuna kibao cha 50 lkn utasikia simu ina toa alarm na kukujulisha kuwa kuna camera. Huo ni uthibitisho kuwa hela inatafutwa kwa lazima. Huu utaratibu wa kurusha picha ni mbovu hakuna mfano
Inaitwaje hiyo mkuu itusaidie na sisi
 
Back
Top Bottom