SOORI MBISE
Senior Member
- Mar 11, 2012
- 152
- 106
Mimi ni mwadhiri msaidizi katika chuo fulani hapa Bongo. Somo ninalofundisha kwa kweli lina kaugumu kake. Sasa nimekula vichwa kadhaa ambavyo vingine vimepiga supp tayari na vingine vinarudia course na vingine safari ya kijijini imeiva.
Sasa cha ajabu napokea sms za vitisho vya kumwagiwa tindi kali. Nimeripoti polisi lakini kwa polisi wetu sijui kama nitapata ulinzi wa kutosha.
Sasa sijui niwe navaa kofia za kuendeshea boda boda?
Sasa cha ajabu napokea sms za vitisho vya kumwagiwa tindi kali. Nimeripoti polisi lakini kwa polisi wetu sijui kama nitapata ulinzi wa kutosha.
Sasa sijui niwe navaa kofia za kuendeshea boda boda?