Ombudsman JF-Expert Member Joined Apr 18, 2012 Posts 3,565 Reaction score 3,735 Jun 6, 2016 #21 TCU watafungua system baada ya matokeo kutoka.
Victor wa happy JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 11,660 Reaction score 11,659 Jun 8, 2016 #22 godcopper said: Jamani nsaidie na mfano kma mzaz mmoja amefariki napatawapi vile vyeti vya kifo? Click to expand... Nenda ofis ya mkuu wa wilaya, usajili wa vifo na vizazi
godcopper said: Jamani nsaidie na mfano kma mzaz mmoja amefariki napatawapi vile vyeti vya kifo? Click to expand... Nenda ofis ya mkuu wa wilaya, usajili wa vifo na vizazi
Donkere91 Senior Member Joined May 28, 2016 Posts 185 Reaction score 162 Oct 17, 2016 #23 Vp mkuu ulifanimiwa ktk haya...mana ndo wakati wake huu