Jamani sugarmamy n nani?

UGORO87

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
824
Reaction score
383
jamani kilacku nasikia sugarmamy..je huyu sugarmamy ninani?anawez kuolew na mm?mm nina ngomb anaweza kuolew n mm?
 
Sugar mumy ni sem trailer au kontena au fuso lililobeba mifuko ya sukari.mi ndo uelewa wangu.
 
jamani kilacku nasikia sugarmamy..je huyu sugarmamy ninani?anawez kuolew na mm?mm nina ngomb anaweza kuolew n mm?

Ugoro ni kilevi kibaya mno kinaathiri mpaka mishipa ya ufahamu wako
 
aisee ukiingia google ukasearch sugarmummy,

then uka-click images, picha zinazoletwa ni noma!!-----weka mbali na watoto!
 
Hahahahaaaa Excel ni wapi hapo ?kuna jamaa yangu sio mimi anataka aonje hiyo kitu !halafu kumbe bei yake jero tu

mkuu sema ukweli bana usaidiwe!! lolz!

btw, wamasai wanavyo hivi vitu..!



au nikfanyie mpango upate ndoo nzima kabisa ya ugoro?

yani hapo utapata self service kulaleki!

 
mkuu sema ukweli bana usaidiwe!! lolz!

btw, wamasai wanavyo hivi vitu..!



au nikfanyie mpango upate ndoo nzima kabisa ya ugoro?

yani hapo utapata self service kulaleki!


Hahahahaaaa
 
Embu acheni hvyo kwani watumiaji wa ugoro n wamasai tu..wapo makibila meng tu wanatumia hyo kitu..
 
Sugarmamy ni mwanamke anayeuza sukari za jumla ndo mwalimu wangu wa UPE alivyonifundishaga!
 
Vp anaweza kunifaa mm?mm nina ngombe...km yupo anipm.
 
Vp anaweza kunifaa mm?mm nina ngombe...km yupo anipm.

Sugar mamy ni mmama anayeuza sukari guru, atakufaa kwa sababu wewe unampa maziwa ya ng'ombe ye anakupa sukari, so mtafaana sana. anza kutafuta mtaani kwenu kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…