Jamani sijielewielewi juu ya my super handsome boss!!! Ushuri please!!!

Ha ha ha. Unajua mshikaj alikuona Mapepe ndo maana alikutoa Dimaa..sasa upepo umetulia ..umapepe wako anahisi Game yako itakuwa Matata, atakutafuna tuu ..sema ndo kila mtu atajua kwa kujifanya kuleta Mapenzi mengi.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

Hongera binti naona ajira mpya imekuwezesha kununua desktop,ucjali jukwaa utalizoe
 
Hamna kunitafuna kirahisi rahisi awezi, maybe nimpe ila sio anizidi akili! Hapo kwenye viwango vya game napokea compliment kwa mikono yote miwili. Gama XXXXXXXXL hapana chezea!
 
Hongera binti naona ajira mpya imekuwezesha kununua desktop,ucjali jukwaa utalizoe

Bizare bwana desktop usiku huu! watu tuko na I PAD 3 bana umekuja 25th august ungeona huko nyuma nilikuwa nazisupply hapa bongo. Jukwaani nipo toka enzi za JAMBO FORUM maybe nikukaribishe wewe, sema ndo BAN kila siku nachukua new ID
 
Bizare bwana desktop usiku huu! watu tuko na I PAD 3 bana umekuja 25th august ungeona huko nyuma nilikuwa nazisupply hapa bongo. Jukwaani nipo toka enzi za JAMBO FORUM maybe nikukaribishe wewe, sema ndo BAN kila siku nachukua new ID

Alaaa kumbe mkongwe wewe eeeh? Masalkheri...!
 
Hahaha!
LMBO, koh koh!
Can you do the statistics for me plz? Huyu ni wa ngapi vile?
huyo huwa kazi yake ya kwanza ni kukagua id cjui we ni mtu wa ngapi kutibuana naye humu,wwanawake wengine bwana,je ungekuwa unaonana na hawa watu uso kwa uso
 
Nyani Ngabu!

Nipe siri ya kudumu na this ID mda wote huo? Au una id mbili ya heshima na ya kzi?

Siri ni moja tu!

Nina IDs 1000 kidogo.

Kila pande ya dunia ninakoenda nahakikisha najiandikisha kwa IDs si chini ya tatu.

Kwa mfano, nina IDs 5 ambazo niliziandikisha nilipokuwa Perth. Nina IDs 3 ambazo niliziandikisha nilipoenda kwenye cruise Montego Bay, Jamaica. Nina IDs 4 ambazo niliziandikisha nilipokuwa na stopover Frankfurt am Main.....

Hizo zote bado sijazitumia hata mara moja. Ziko standby na mods hawajui kama ni zangu kwa sababu IP addresses ziko tofa na uti.
 


Damn! Man! you are so good in this business ya kuwazunguka modds! You got deep pockets too so it seems all those trips!!!? Specifically on the CRUISE part!!! Im jst saying! LOL! Manake nadamu ya kunguni nitakovamiwa kwa kukusifia we acha tu
 
Damn! Man! you are so good in this business ya kuwazunguka modds! You got deep pockets too so it seems all those trips!!!? Specifically on the CRUISE part!!! Im jst saying! LOL! Manake nadamu ya kunguni nitakovamiwa kwa kukusifia we acha tu

I'm the baddest man on the planet! Mods hawaniwezi mimi. Paw mwenyewe kacheua hapa.

Next trip on the horizon ni Punta Cana, in the DR. Gotta live it up, you know.
 
And waste my bundle to read crappy stuff like yours? When a dull mind says a joke nobody laughs! I need to remove this pop-up blocker in my mind so that I can see 'useless' from afar! Growing old aint fun, I promise u!

Hivi kunakingine nyuma ya pazia au nini kilichokuudhi kiasi hicho juu ya uzi huu Wa Lara we King'asti? Mbona sioni kosa lolote alofanya binti Wa watu mpaka kukutoa mishipa ya shingo kiasi hicho? Hili ni jukwaa ka burudani kuna story za kutungwa na ukweli as long as zinaleta raha shida iko wapi?

Kwa nini kama thread haijakufurahisha usiipotezee tu kuliko kimshambulia kwa hasira kiasi hicho binti Wa watu kama kakunyang'anya mume? Sijapenda kabisa unavyofanya kwa kweli. Siyo vizuri kujiona kuwa wewe ni bora siku zote kuliko wengine. We huwa ni mtata sana huwa naona michango yako mingi. Wanawake mpendane jamani lol
 

Mie nakupenda wewe manake unaonekana kuwa bora kunizidi. Una mishipa ya shingo?
 

Lara 1, jipe raha kwa kwenda mbele. Unajua kunawatu wanasubiri watongozwe, waambiwe nitakujengea nyumba, gari nitakupa, kadi za benki utakaa nazo wewe. Huo utumwa tumetoka siku nyingi. Kumpenda mtu, kumwambia unavyojisikia si kosa.

Wish you the best!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…