Jamani sijielewielewi juu ya my super handsome boss!!! Ushuri please!!!

@ KONGOSHO na MWALI, nyie naona mmejipa UCIA na KGB wa kuchunguza hili swala letu na Greatest Thinker of all times! Afu Kongosho sio inshu hiyo hizo insinuation zako i cant say your wrong but i cant say your right either, the thing ni kuwa unaniharibia!!! Nishakupdate kuwa the MISSION AINT IMPOSSIBLE plus im working on it sasa unavoingizia uintelijensia wako unafanya nibadili plan kila mda. Stay out, Watch and Enjoy
 
And waste my bundle to read crappy stuff like yours? When a dull mind says a joke nobody laughs! I need to remove this pop-up blocker in my mind so that I can see 'useless' from afar! Growing old aint fun, I promise u!

Hapo chacha,
 
Whatever!!! Give me a breaaak! I write what i want and feel, i dont write to interest or make any one happy especially you! period! So suit your self if you read or dont read i actually dont care at all!!!!!!!!!!!!! As long as i did and will continue doing wahat i please, u can go to hell all i care!!! WTF!!!!!!!!!!!!! Busy kabisa niandike stuffs considering kama utazipenda????? Aaaaaah!

Kudadadeki... Duuh...
 
Nawasalimu wakuu!

Ya jana yamepita jamani nimenusurika BAN, namshukuru mola, ila sijakata tamaa, najua MM the F ana play HARD TO GET, na mimi I HAVE ALL THE TIME TO WAIT, sieti hata nyie wakiume mkimtongoza mtu mara ya kwanza mnajua tu cha mbavu na za uso lazima ila hamkati tamaa? Na mimi nakomaa, mpaka ani PM.

Back to the point, mwenzenu nakofanyia kazi huku kuna Bosi wangu Super Handsome!!!!! afu hajaoa wala hana demu mule ofisini ila mapoziii mengi na hivi karudi kutoka masters U.K kujifanya high class wkt za chini ya kapeti zinadai alikuwa mbeba boxi tu huko majuu cheti kachakachua. Full kuninyanyasa na hiki kielimu changu cha kuungaunga cha UDSM, Sinywi maji! sijambi kwa raha! kabla sijaambiwa YOU HAVENT SEEN THE WORLD! nakuwaje mdogo na hivi hata nairobi sijawahi kufika??

Nilivomuona mara ya kwanza kwenye interview badala ya kuwaza jinsi ya kupata hiyo kazi nijikwamue na njaa kali ya kitaa nikawa nimepagawa mtoto, miswali migumu siiwezi nabaki kumpa killer smile tu! akawa haelewi huyu binti 0 kichwani ansmile nini badala ya kutiririsha utirio, out of kindness tu akawa ansmile back. Hamad kazi nikapewa mie nikaanza na mshawasha kweli!. Nikajua tu hapa hii kazi ushahidi tu kanileta tuburudike amasivyo wale intervieew wengine vilaza zaidi yangu.

Wiki ya kwanza tu baada ya kupewa mishushu na makavu livee oblongata ikatulia sasa nikajua tu hamna kuburudika wala nini mwendo wa kazi tuuu! Ila uvunguni mwa moyo wangu bado ule mshawasha ukabakia ila kila nikipewa shushu unapungua mpaka ukaisha kabisaa. Nikajiaminisha vita nimevishinda na pepo la ngono zembe limeshindwa na limelegea.

Sasa si ndo Boss Super Handsome akaniambia nanifeel na tudate kama i feel him too ( tongoza za deportees hizo hawabembelezi sanaaa) Nikakumbuka mishushu na I HAVENT SEEN THE WORLD nikaona ligi nzito, maji ya shingo siyawezi nikamchomolea. Nikamwambia simfeel wala nini achukue time. Basi nshomile hakunibembeleza wala nini ila akaniomba nisvujishe ishu ofisini kuwa nimempa cha mbavu. Nikamwambia usihofu.


Sasa nimezoea ofisi na nimeanza kupata miumbea ya mule kumbe 90% ya vidada mule vinamzimia kinoma, kila siku kumnunulia chakula, si kumpa lift, si kumualika drinks jioni nae anakula tu vyote, hana hiana! mi huu umbea umeniuma kinomaaa! sijui kwanini wakati kumpenda simpendi, wivu sina ila roho yaniuma! Basi kila nikiwaona wapinzani wanagombea jimbo roho yanitoka! Nimebaki nataka huku sitaki.

KITAALAMU HIVI NINA SUMBULIWA NA NINI? NINI TIBA?

Babu asprini nipe uzoefu wako inaonekana umekula chumvi nyingi umeona mengi!!!!

Kilaza!!
 

Yaani kumbe unakagua spellings na grama? Ovyooo! Hizo slang za kitaa mix na kiswahili cha Tanga, ongezea na vitu vya DC kidogo. No wounder upo Morogoro unajua kiluguru tu, u cant know this shit!
 
Don woory bbyiii....hao ni marafik 2 LARA.And tht term -you havnt seen the world) ni msemo tu aliokuwa akiutumia lectur wetu hivyo nilipokuwa nikikutan na maclsmte huwa tunakumbshia ikaniplkea kuwa fmrlzd na hayo mnno bt infct huwa cko srious in such...kumbe inakuboa am vry sry my ...
 
Last edited by a moderator:
maybe they are the same. twins, au mtu mmoja
alikuwapo Nazjaz,akaja Merrytina,akaja Erotica,kakaibuka ka Natalia,labda wengine nimewasahau sasa tuna Lara 1!!!!!wote wanafanana...ubongo wao upo kiunoni!teh teh teh!JF kweli raha..burudani non stop
 
maybe they are the same. twins, au mtu mmoja

umeona enhe kiongozi?halafu wanakuja kama series ya isidingo akimaliza huyu kuleta mauzauza anafuatia huyu!sometime kuna kujichanganya,kuja kwa Lara 1 na kurejea kwa ghafla kwa Erotica kunaleta kiulizo wakati juzi kati Natalia kalipigwa ban!siamini kama hawa ni watu wa3 tofauti.

by the way nimemmisi huyu Erotica,nasikia kajifungua mapacha mmoja mbantu na mwingine mchina!lol!
 
Back
Top Bottom