Mlendamboga
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 664
- 334
Mmejuaje? ulienda kwene mambo yako au kuchunguza maisha ya watu? Just joking ni kweli hali ni mbaya, zipo guest ambazo hawapokei wageni wa full time wao ni short time tu na unalipia full time!
blue roz
mmmh mie sina mkuki !!!!Wewe ulienda na nani?, co-worker au mugloo?! Au ulipitia uwanja wa fisi?.
OOOOH hatujafika Dar na mke wangu nimekuja pakee yangu baba!!!!!!Means wewe na mkeo hamjafika Sinza?kama ndio basi hampo Dar
tanzania nzima!!sio sinza tu ni dar nzima...
Wewe ulienda na nani?, co-worker au mugloo?! Au ulipitia uwanja wa fisi?.
Yale yale tena hapo maarufu tangu siku nyingi kwa mambo ya fasta fasta!!!!kaazi kweli kweli kama kweli wanaoesema kuna moto basi itakuwa balaa pale mtu atakapowekwa hadharani na alioambatana nao katika mazingira ya wizi!!!!!!!!!!!!!!!hebu fikiria list uliyoambatana nayo kuchakachua halafu siku hiyo na mama nake mkakaa naye pamoja halafu inasomwa list wote wanaline up mbele yako vivyo hivyo kwa mama!!!!!!!!!!si unaweza ukazimia!!!!!!!!!!Namnani iko full. Niko receoption hapa wananinyima chumba
Mhh hapa naona imezidi manake jamaa unapolipa chumba kwa siku nzima wanaonekana kabisa kukasirika hasa unapoingia na mabegi!!!!! wanataka tu kuua na kutawanyika!!!tanzania nzima!!
Namnani iko full. Niko receoption hapa wananinyima chumba
Wewe ulienda na nani?, co-worker au mugloo?! Au ulipitia uwanja wa fisi?.
nimegundua mdau huyu ni msuasu!!mhhhhhhhhh! Mtu wa sua utamjua kwa kiswahili chake tu.