Jamani 'short time' hotels za Sinza imezidi!

Mlendamboga

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
664
334
Watu hawahofii kufa, Biashara ya short time naona imekuwa utaratibu wa kawaida manake jana katika kutafuta Mahala pa kulala nimeshuhudia mengi. Watu wametoka ofisi moja wanapitiliza guest then wanamalizana na kila mtu anarejea kwake kwa utetezi wa msongamano/foleni!

Jamani watu wanachakachua ndoa mpaka basi
 
Mmejuaje? ulienda kwene mambo yako au kuchunguza maisha ya watu? Just joking ni kweli hali ni mbaya, zipo guest ambazo hawapokei wageni wa full time wao ni short time tu na unalipia full time!
 
Kwani hao wa short time hawawezi kulipia full time. Watu wanafanya shot time Movenpick kaka! Inategemea tu na std, ni kama ambavyo ofisi ya kata kuna uchakachuaji na ikulu pia uchakachuaji upo!
Mmejuaje? ulienda kwene mambo yako au kuchunguza maisha ya watu? Just joking ni kweli hali ni mbaya, zipo guest ambazo hawapokei wageni wa full time wao ni short time tu na unalipia full time!
 
Wewe ulienda na nani?, co-worker au mugloo?! Au ulipitia uwanja wa fisi?.
 
Namnani iko full. Niko receoption hapa wananinyima chumba
Yale yale tena hapo maarufu tangu siku nyingi kwa mambo ya fasta fasta!!!!kaazi kweli kweli kama kweli wanaoesema kuna moto basi itakuwa balaa pale mtu atakapowekwa hadharani na alioambatana nao katika mazingira ya wizi!!!!!!!!!!!!!!!hebu fikiria list uliyoambatana nayo kuchakachua halafu siku hiyo na mama nake mkakaa naye pamoja halafu inasomwa list wote wanaline up mbele yako vivyo hivyo kwa mama!!!!!!!!!!si unaweza ukazimia!!!!!!!!!!
 
Hapa home mshua kila leo anarudi usiku balaa....ngoja ni-intelegensia kwanza!!
 
Badili taito isomeke hizi- "jamani watu mumezidisha short time- punguzeni"
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom