Tokea nimuone huyu dada kwa mala ya kwanza live, nafsi yangu imetokea kumkubali sana na kuhitaji awe naniliyu wangu. Juliana Shonza popote pale ulipo nakuomba uje pande izi japo tuzungumze tu ka nafsi kangu katatulia.
mmmhhhhh hivi yale maeneo kule bondeni nyumba za kulala wageni sh ngapi?? nataka nijue mapemaaaaaaaa sitaki kufikia kwa Yummy ananibania sana, na atafikisha habari kwa mnoko Asprin. tutaenjoyjeeeeee??